Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
Tarehe 26/11/2011 kuna harusi kibao na kutakuwa na misururu ya magari kufanikisha hilo je Alshabab wana matatizo gani na waandamanaji wanaopinga mchakato mbovu wa katiba na wale wanaopinga Dowan's kulipwa?? mimi nadhani umefika wakati sasa kujihami na polisi zaidi kuliko alshabab. Mbona Baba riz1 alipokuwa anaongea na lundo la wanaCCM wakongwe hakupigwa au Alshabab ni rafiki zake?Kova amapiga marufuku maandamano ya wanaharakati na vyama vyote ambavyo vina mpango wa kuandamana
tarehe 26.11.2011 kwa sababu ya kuwepo alshabab nchini
Hapa tumpongeze sana kova kwa kazi nzuri
Mytake
1.clouds fm wanaanda tamasha la usiku 26.11.2011( wapigwa marufuku na wao)
2. Sugu anaandaa tamasha la usiku 26.11.2011 ( nayeye apigwa marufuku)
3.