ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Kama hasemi kweli dawa ni kumkanusha kwa vielelezo. Mengine yoyote ni porojo.ni vyema akasema anachotaka! anataka kugombea 2020 au ni nini? ni kama vile anatumika na watu fulani kinyume na maslai ya watanzania
asidanganyike na comments za watu wachache humu jf, mtaani watu hawamuelewi especially hio speech yake ya mwisho