Polisi: Lissu hatoki

Polisi: Lissu hatoki

FB_IMG_1500743228195.jpg
 
Siku hizi ukitoa maoni tofauti wewe in mchochezi, Hivi sasa kuna kampeni ya yule mwanadamu abakie nafasi ile, Waanzilishi wa kampeni ile hadi sasa hawajakamatwa kwa kuchochea yule mwanadamu abakie nafasi ile, Na ikitokea na wewe ukaanzisha kampeni ya yule mwanadamu aondoke haraka kwenye nafasi ile nakuhakikishia siku hiyo hiyo utadakwa na utaitwa mchochezi!!! UNAFIKI ni kitu kibaya sana.UNAFIKI haukuwahi kumuacha MTU salama kwenye ile Nchi ya Tumaini hewa.
 
Lazima awe na adabu bhana! Uhuru wa kutoa maoni ni lazima kuongea lugha za kuudhi?

Acha anyee debe kidogo akitoka huko akili itakuwa imerudi, idiot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umekomaa sana na Lisu mkuu!
Ana mimba ya Lissu huyo....

SI ulisikia Lissu kaongea kuhusu Nyanza Republic na jamaa anajua kuwa bila hata kuwa na elimu anaweza kuachishwa kubeba box na kuogesha vibibi huko Marekani aje kufanya kazi ya ukuu wa wilaya kwa mshahara wa milioni 3.5 gross kwa kuwa ni msukuma kama Magufuli
 
Naona unaanza kuandika insha wakati kamanda anaendelea kusota selo. Sijui kama itasaidia sana.
Wewe kuwa kitaani na kulala kwako.umshukuru lisu uvumilivu wake na viongozi wa upinzani.ipo siku utaelewa.
Lisu kama yesu kwa wayahudi.hawakumuelewa mpaka alipo ondoka.ni wachache tuna muelewa lisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazidi kuumbuka " if you look at magufuli speech kila siku anaongea same shit if u look at polisi kila siku wanafanya same vioja if u look at those idiots supporting huu ukandamizaji njaa zinaongezeka" tanzania is a loosing nation na i pray for the worse ili akili ziwakae sawa.

Unategemea njaa ipungue nyumbani kwako kwa kuongeza uzalishaji wa malalamiko yako humu JF? utasubiri sana.Unaipenda na kuimudu lugha ipi kati ya hizo mbili ulizotumia?
 
Huu ndio mwisho Wa Lisu.. Nazani Mbowe anafurahi kimoyo moyo huko..
 
Back
Top Bottom