Polisi: Lissu hatoki

Polisi: Lissu hatoki

Kutofautiana ndo ninakokufanya mimi sasa.

Natofautiana na huyo mpumbavu Lissu na wapambe wake wa humu kuhusu madai yake ya nchi kuendeshwa kikanda na kikabila.

Sasa kuna kutofautiana zaidi ya hapo?

Si ajabu hata hukumaanisha kusema 'kutofautiana' lakini kwa vile huna akili na huna msamiati wa kutosha ndo maana umetumia hilo neno ambalo ndo linaelezea kwa ufasaha ninachokifanya hapa.

Teh teh teh....ujinga ni janga!
Lissu sio mpumbavu kama unavyoandika hapo. Lissu ni kiongozi wa watu hivyo kumwita mpumbavu unamaanisha hata hao anao waongoza ni wapumbavu pia. Please futa kauli hiyo ili usiharibu mjadala kwa yatakayo fuata baada ya kauli yako hiyo.
 
Tatizo lissu haijulikani anafanya yote hayo kwa maslahi ya kitu gani!!

Kama ni democrasia, lissu alitakiwa aanze kuhoji democrasia ya ndani ya chama chake kwanza, iweje mwenyekiti mbowe awe madarakani kwa miongo yote hiyo? Vp kuhusu Matumizi ya pesa za chama? Vipi kuhusu kumpokea lowassa ambaye waliimba ni fisadi? Vipi kuhusu kumpa ugombea wa uraisi mwanachama huyo(lowassa) wa wiki moja?
Utaratibu huu unafanywa na wanaharakati wengi sana, huanza kuhoji walipokaa kwanza, kina usafi? Turejee kwa Malema na ANC, Chacha Wangwe na CHAdema.... Na wengineo.

2. Lissu aseme yupo against na dunia nzima na watu wote wanaomuona magufuli anafanya haya yote kwa kutaka kuiokomboa nchi.
Toka JPM aingie, ameungwa mkono ktk move zake na watu mbalimbali kwasababu amekua akiyafanyia kazi yale ambayo kwa miongo mingi wapinzani wamekua wakiyapigia kelele. Mf. Tuneona jinsi aliyekua mbunge, mwanaharakati Kafulila, akimpongeza JPM kwa move yake ya kuifanyia kazi ishu ya escrow.

NINACHOKIONA MIMI
ninachokiona mimo ni kwamba, lissu ana kitu kinaitwa "political egoism" ambayo ameijenga juu ya "political trust" wananchi waliyoieeka kwake.

Lakini trust ya wananchi sasa inapotea dhidi ya kauli za lissu anazoendelea kuzitoa kila siku, ni wazi kwamba, hata ukifuatilia mitandao ya kijamii, wananchi wengie wamepoteza imani na lissu kwasababu wameshamuona lissu amekua "political ignorant"!!

Hii anayoicheza lissu ni kamali, tena kamali kubwa sana. Lissu anasahau kua mbali na vyama vya siasa nchi ina misingi yake.

Lissu ananikumbusha kauli za morgan tswangiray kule Zimbabwe aliposimama akasema anaunga mkono ushoga na kwamba akichukua madaraka atatudisha ardhi kwa wazungu walionyangaywa na mugabe, ili apate huruma ya wazungu, akisahau kwamba waafrika wanabaki waafrika bila kujali wapo kwenye hali gani...

Kilichomkuta mpinzani huyo wa zimbabwe, ule ndio ukawa mwisho wa siasa zake za upinzani kule zimbabwe.

Kwa hiyo namuona lissu anapoendelea kutoa kauli zake hizi ataishiwa kuchukukiwa na wananchi na vile vile kuendelea kupata kibano kutoka kwa serikali ambayo ni ya mabavu.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Very reasoned analysis.
 
Mkuu usicheze na maagizo toka juu. Inalazimu uweke akili pembeni sheria pembeni na hata katiba ujifanye haipo.
Mkuu sina tatizo na mashtaka wala kushikiliwa kwa mtu.

Ninawasi wasi na kauli za Polisi. Kamanda anaposema ' wanatumia ubunge kama chaka' tayari ameshaondoka katika mstari. Mhalifu hana cheo, wadhifa au muamana, ni mhalifu tu
Kusema wanatumia Ubunge tayari ni kumtengenezea shtaka la kuwa Mbunge
Kulikuwa na ulazima wa kusema hayo?

Kusema '...kama chaka la uhalifu' kamanda keshatoa hukumu. Je, ndivyo sheria inavyosema?

Kumshikilia mtu kabla ya upelelezi haujakamilika inatia shaka. Ipo siku nitawaambia Polisi Dogos amevunja duka jana. Siku hiyo ukakamatwa.

Upepelezi ukikamilika inagundulika kuwa aliyevunja duka ni Douglas anayevaa shati la kijani kama Dogos.

Utakuwa umelala korokoroni na uhuru wako umechukuliwa bila sababu

Hivi tunaweka mkokoteni mbele ya farasi au nyuma ya farasi?

Polisi wanaweza kufuata maagizo kutoka juu, lakini basi wakishapewa wajiepusha na kauli zinazowajengea sura na taswira tofauti
 
Lissu sio mpumbavu kama unavyoandika hapo. Lissu ni kiongozi wa watu hivyo kumwita mpumbavu unamaanisha hata hao anao waongoza ni wapumbavu pia. Please futa kauli hiyo ili usiharibu mjadala kwa yatakayo fuata baada ya kauli yako hiyo.

Nope.

Sifuti ng'o.

Sifuti kwa sababu nipo sahihi.
 
Hili hitimisho lako kwamba Lissu haijulikani anafanya yote hayo kwa maslahi ya kitu gani ni potofu halina mashiko. Labda wewe kwa akili yako finyu ndiye humuelewi Lissu anachokifanya anakifanya kwa maslahi ya kitu gani lakini wako Watanzania chungu nzima ambao wanamuelewa sana Lissu anachokifanya anakifanya kwa maslahi gani na wanamuunga mkono kwa 110%.

Tatizo lissu haijulikani anafanya yote hayo kwa maslahi ya kitu gani!!
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilidhani ikulu ikanushe kuwa hatumii mabavu kujenga chato na aliowataja hawatoki kanda ya ziwa.....
Hawa mbwa ccm badala ya kujenga viwanda wanapambana na wapoinzani ambao ndo wazalendo halisi wa hii nchi huku ccm wakiwa marafikiwa wazungu kwa kusainiana mikataba isiyokuwa na tija yoyote kwa taifa
 
Tatizo lissu haijulikani anafanya yote hayo kwa maslahi ya kitu gani!!

Kama ni democrasia, lissu alitakiwa aanze kuhoji democrasia ya ndani ya chama chake kwanza, iweje mwenyekiti mbowe awe madarakani kwa miongo yote hiyo? Vp kuhusu Matumizi ya pesa za chama? Vipi kuhusu kumpokea lowassa ambaye waliimba ni fisadi? Vipi kuhusu kumpa ugombea wa uraisi mwanachama huyo(lowassa) wa wiki moja?
Utaratibu huu unafanywa na wanaharakati wengi sana, huanza kuhoji walipokaa kwanza, kina usafi? Turejee kwa Malema na ANC, Chacha Wangwe na CHAdema.... Na wengineo.

2. Lissu aseme yupo against na dunia nzima na watu wote wanaomuona magufuli anafanya haya yote kwa kutaka kuiokomboa nchi.
Toka JPM aingie, ameungwa mkono ktk move zake na watu mbalimbali kwasababu amekua akiyafanyia kazi yale ambayo kwa miongo mingi wapinzani wamekua wakiyapigia kelele. Mf. Tuneona jinsi aliyekua mbunge, mwanaharakati Kafulila, akimpongeza JPM kwa move yake ya kuifanyia kazi ishu ya escrow.

NINACHOKIONA MIMI
ninachokiona mimo ni kwamba, lissu ana kitu kinaitwa "political egoism" ambayo ameijenga juu ya "political trust" wananchi waliyoieeka kwake.

Lakini trust ya wananchi sasa inapotea dhidi ya kauli za lissu anazoendelea kuzitoa kila siku, ni wazi kwamba, hata ukifuatilia mitandao ya kijamii, wananchi wengie wamepoteza imani na lissu kwasababu wameshamuona lissu amekua "political ignorant"!!

Hii anayoicheza lissu ni kamali, tena kamali kubwa sana. Lissu anasahau kua mbali na vyama vya siasa nchi ina misingi yake.

Lissu ananikumbusha kauli za morgan tswangiray kule Zimbabwe aliposimama akasema anaunga mkono ushoga na kwamba akichukua madaraka atatudisha ardhi kwa wazungu walionyangaywa na mugabe, ili apate huruma ya wazungu, akisahau kwamba waafrika wanabaki waafrika bila kujali wapo kwenye hali gani...

Kilichomkuta mpinzani huyo wa zimbabwe, ule ndio ukawa mwisho wa siasa zake za upinzani kule zimbabwe.

Kwa hiyo namuona lissu anapoendelea kutoa kauli zake hizi ataishiwa kuchukukiwa na wananchi na vile vile kuendelea kupata kibano kutoka kwa serikali ambayo ni ya mabavu.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
ni vyema akasema anachotaka! anataka kugombea 2020 au ni nini? ni kama vile anatumika na watu fulani kinyume na maslai ya watanzania
asidanganyike na comments za watu wachache humu jf, mtaani watu hawamuelewi especially hio speech yake ya mwisho
 
Back
Top Bottom