G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,262
Wakinani unawambia we tahira nini? Wewe unalinganisha kubenea ambaye hajifichi na majambazi...kubenea ajifiche kwani ameua we vpi?Kama hamuwezi kuwapata majahili wa Kibiti basi msichimbe mkwara kwa Kubenea kwamba Tanzania ni ndogo. Kwa hiyo kwa Kubenea kumpata rahisi, kwa majambazi ndio hamuwezi? Nakwambia chizi wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app