JIHADHARI NA WIZI WA AJABU MPYA WA SIMU, HASA SIMU JANJA (CELLPHONE)

T Kaiza-Boshe

Member
May 27, 2013
20
39
Wengine wanauita utapeli, kwa maana simu utaitoa wewe mwenyewe, na inandoka ukiiona.

Iko hivi,
anakuja mtu unayemjua vizuri, na wakati mwingine humjui, anakuomba simu unampa; na anaweza kuchukua na ya mwingine, na ya mwingine. Nyote mtampa simu zenu! Manaweza kuuliza kwa nini, au ya nini, huyo mwizi atatoa jibu jepesi, na japo siyo jibu la kuridhisha, mtanyamaza. Akiishachukua, anaondoka. Mnakuja kushtuka baadaye kuwa kawaibia simu. Wizi huu umetokea madukani, kwenye fremu za biashara, ofisini, na msibani. Kwenye eneo moja Kawe, mwizi ametumia mazingira ya msiba kuiba simu zaidi ya kumi wahusika wakiangalia, huku akijihusisha na msiba usiomhusu.

Katika kimoja kati ya visa vinne vilivyotokea Kawe katika juma moja, mwizi ni msichana anayejulikana alikoiba kwa vile aliwahi kuishi hapo, na anapoishi kwa sasa siyo mbali na eneo la tukio. Aliingia kwenye fremu moja akamuomba dada mmoja simu janja yake akampa. Kiisha akavuka barabara ya mtaa akamuomba mwanamama mwingine simu yake. Alipokuwa amepata simu nyingine akaondoka. Sehemu hiyo ina maduka, magenge, na bucha, na biashara za vyakula sehemu za wazi, na ilikuwa saa za kazi. Hivyo huyo mwanadada alipochukua simu watu walimuona. Wenye simu walipomuona anaondoka wakajaribu kumuita lakini yeye akawa kama anapuuza na kuendelea na safari yake. Na hakuna aliyemkimbiza!

Nilipomhoji mmoja wa walioibiwa kwa nini hawakumfukuza na kupiga kelele akamatwe, alisema waliona vile wanamjua na wanajua kwao wangemfuata nyumbani. Walimfuata baadaye.

Nyumbani mwanadada huyo hakuwa na simu. Simu aliishakabidhi kwa waliomtuma, ikiwa pamoja nay a kwake mwenyewe, na waliomtuma hakuwajua! Na hawakumlipa kitu!

Alipopelekwa polisi ndipo “mchezo” ukagundulika. Kifupi, wahusika walikuwa wanawake wawili waliomwambia karogwa na kwamba wangemponyesha na pia angepata milioni 2. Alipokabidhi simu aliambiwa ili uponyaji ufanye kazi anapoondoka asiangalie nyuma. Alipokuja kuangalia nyuma hakukuta mtu. Aidha mwanadada huyo alipohojiwa ni jinsi gani aliweza kufanikisha wizi huo alisema alielekezwa na wale wanawake kuwa akichukua simu akiulizwa ateme mate chini; na alifanya hivyo. Aidha alieleza kuwa alikuwa pia amepewa kijiwe alichokiweka chini ya ziwa.

Angalizo/Ushauri: Wezi wa namna hii ni vigumu kuwakamata, na anayekamatwa siyo mwizi, ila na yeye katumiwa na kutapeliwa. Wezi wanatumia mambo mawili: Mosi, wanamtumia mtu unayemjua na kumwamini, hivyo ni vigumu kumshutukia haraka. Na hata asipojulikana anaweka mazingira ya kuaminika au udharura. Pili, wanatumia nguvu za giza. Hivyo naona kuna mambo matatu yatakayoweza kutusaidia kukabiliana na wizi wa namna hii:

1. Epuka kupeana simu. Hasa wanawake ndio wenye mtindo huu.

2. Kama una imani ya Mungu, omba wakati wote uwe na Ulinzi Wake. Hii ndiyo naiona kuwa mbinu itakayosaidia wengi, kwa vile wezi wanatumia nguvu za giza.

3. Ukiona mtu anachukuwa simu ya mwenzako nyumbani, kazini, popote; mshtue. Ama, ikiwezekana, mfuatilie mwizi kinyemela hadi anapopeleka simu na kupiga picha. Ikipatikana picha itasaidia kukamata wahusika. Maana inaelekea wezi wanakuwa ni watu wa karibu kiasi cha kujua mazingira na nyendo nyendo za mlengwa. Kwa hiyo picha yao ikipatikana inaweza kuwa rahisi kuwatambua, au hata kuwatafuta kipolisi.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx​

Wa kumshika ni huyo huyo dada aliechukua simu.

Hata kama alifanyiwa dawa, dhamira yake tayari ilikuwa ovu baada ya kusikia atapewa Mil. 2.

Ila hao waliogawa simu zao nao pia mapochocho. Yani unasepa na tambo langu nikuangalie tu, hata ukiwa ndugu yangu wa damu nakutoa nduki.
 
Kuibiwa Simu kwa sasa ( tena Kizembe kama hivi ) ni dalili tosha kuwa Aliyeibiwa si tu ni Mpumbavu bali na tatizo Kubwa mno la Afya ya Akili ( Uwendawazimu )
 
Aisee
 
Acha kututisha huo ni utapeli tu kama utapeli mwingine Kama Imani ndo inafanya watu wasiibiwe bac walokole wasingekuwa wanatapeliwa. Solution hapo ni kuepuka kumpa mtu Simu
 
Wizi wa mwaka 47 huo.... anakutana na hao watu wanamwambia sijui ni waganga wamemuona kanyweshwa maji ya maiti watamsugua utatoka moshi au nywele,tiba yake akatafute simu ili amuone mchawi wake na namna ya kumtibia apone, aende nyumbani akachukue vitu vya thamani watamuagiza kulingana na alivyowajibu, asiongee na mtu hadi atakapowakabidhi....

Ujinga ujinga mtupu, huo muda wa kukutana na mtu barabaran humjui na kuanza kuzungumza sijui hua wanaupata wapi.
 
Kumbe CELLPHONE ndiyo simu janja! SMARTPHONE ndiyo vitochi!
JF kuna wajuaji kweli.
 
Chai
 
Wizi wa mwaka 47 huo.... anakutana na hao watu wanamwambia sijui ni waganga wamemuona kanyweshwa maji ya maiti watamsugua utatoka moshi au nywele,tiba yake akatafute simu ili amuone mchawi wake na namna ya kumtibia apone, aende nyumbani akachukue vitu vya thamani watamuagiza kulingana na alivyowajibu, asiongee na mtu hadi atakapowakabidhi....

Ujinga ujinga mtupu, huo muda wa kukutana na mtu barabaran humjui na kuanza kuzungumza sijui hua wanaupata wapi.
Wala si uwongo..
Mtu anaetapiliwa kwa namna hiyo tumchunguze kwanza na yeye kama zipo kweli kichwani...
Serious unatoa simu tuu khaaaa...
 
"""Ujinga ujinga mtupu, huo muda wa kukutana na mtu barabaran humjui na kuanza kuzungumza sijui hua wanaupata wapi.""""

Mambo yalivyo mengi kichwani ety..
Huo mda unapata wapi. Wa kupiga story na mtu, na mpaka mtu anakuja kukufanyia issue kama hiyo sijui kakuchukuliaje aiseee 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Ngoja wenzangu waje, mimi hii imegoma kukaa akilini, ila kama ni kweli amini kuna watu wapo mjini kimakosa na kuendelea kukaa kwao mjini ndio fursa kwa wengine.
 
"""Ujinga ujinga mtupu, huo muda wa kukutana na mtu barabaran humjui na kuanza kuzungumza sijui hua wanaupata wapi.""""

Mambo yalivyo mengi kichwani ety..
Huo mda unapata wapi. Wa kupiga story na mtu, na mpaka mtu anakuja kukufanyia issue kama hiyo sijui kakuchukuliaje aiseee
Jana nilienda kumuona mgonjwa hospital flan hivi ipo mjini kati, sasa mgonjwa akahitaji kitu nikatoka nje nikamletee, ile natoka tu getin natembea kidogo mbele yangu anakuja mwanaume kashika kidaftari, ghafla akaanza kunichekea, mimi nikawa namuangalia tu nimemkazia macho, eti ooh "dada samahani naomba nikuulize", nikampita bado ananisemesha "nakuuliza kitu unisaidie dada angu samahani" mie kimyaaaa,

Pale lango la hospital kuna walinzi teleeee, mbele ya hospital kuna kituo cha polisi, huko kote kashindwa kuuliza aniulize mie mpita njia, mxiiiie.
 
Jana nilienda kumuona mgonjwa hospital flan hivi ipo mjini kati, sasa mgonjwa akahitaji kitu nikatoka nje nikamletee, ila natoka tu getin natembea kidogo mbele yangu anakuja mwanaume kashika kidaftari, ghafla akaanza kunichekea, mimi nikawa namuangalia tu nimemkazia macho, eti ooh "dada samahani naomba nikuulize", nikampita bado ananisemesha "nakuuliza kitu unisaidie dada angu samahani" mie kimyaaaa,

Pale lango la hospital kuna walinzi teleeee, mbele ya hospital kuna kituo cha polisi, huko kote kashindwa kuuliza aniulize mie mpita njia, mxiiiie.
Now mjini kuna mambo mengi..
Kumpa mtu nafasi tu tayari kashajua wee wa namna gani na shida huanzia hapo..

Mi huwa straight sana na mambo yangu. Mtu taongea nae kwenye usafiri tuu nje ya hapo hapana.

Na hata huyo wa kwenye usafiri nikiona ana elements za tabia zile mara "nyota yako imefifia"" sijui habari gani ndo mapema hanipati huyo..

Ni bora wakuite muoga mbele ya hao watu aisee. Sometimes hao wajanja wa town wanapigwa sana kutokana na kujiamini.
Unakutana na mtu ile lafudhi yake tuu. Uwezi dhania kama ndo tapeli mwenyewe. Ahaha kumbe sasa.
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom