Polisi kufunguka leo kuhusu kilichomkuta Dk Ulimboka

Mhhh niko happy sasa coz i real lyk this move especially main charactor KOVA so ndo epsode ya ngapi sijui nahofu inaweza ikasisimua zaidi ila sipendi Dr ahusiswe! Ikiwa tayari tuambiane jamani.... Ohhhh just wanna forget vip mkenya feki naye yupo tena?. So funny.

Hakuna kuzungumzia mkenya feki maana suala lake lipo mahakamani. Mnh! Kova Kova Kova......... hajachoka tu kurekodi hiyo movie pamoja ya kwamba episodes za mwanzo watu hawakuzipenda. Sijui, labda hii itauza.
 
Maisha matamu, kweli ulimboka kanyamaza! haya mambo yanahitaji ushujaa of the highest degree. I can imagine the courage Mwakyembe has! I admire him, not ULIMBOKA. Anyway, "OBULOLA TIBUGALUKILWA"! Wahaya wanasema (uhai hauji mara mbili)
Mkuu ukuliona Geti Jekundu na ukuta mkubwa wa kisasa kwa baba wa Dr, mara baada ya kurudi S.Afrika??????????? mambo kwisha
 
Ningewashauri wasiongee coz whatever they say hatutawaamini... Wiki haipiti huku mitaani kwetu tunasikia watu wanavamiwa ka sio majumbani ni barabarani na polisi wapo hawafanyi chochote mnauza sura tu kwenye tv hamna chochote majambazi wezi vibaka matapeli waonevu wala rushwa ndio nyinyi
 
Naamini wapo wenye kujua kama nae alilazimishwa au nae alipelekwa msitu wa pande. Wajitokeze bac watujuze.
Nani ajitokeze? unajua mtu yeyote asiyetaka kushughulisha ubongo wake , lazima atabakia kupiga porojo 2, na ukitaka atoe facts utasikia mara hili, mara lile.
 
Ningewashauri wasiongee coz whatever they say hatutawaamini... Wiki haipiti huku mitaani kwetu tunasikia watu wanavamiwa ka sio majumbani ni barabarani na polisi wapo hawafanyi chochote mnauza sura tu kwenye tv hamna chochote majambazi wezi vibaka matapeli waonevu wala rushwa ndio nyinyi

Ulinzi shirikishi mkuu, usipotoa taarifa ya manyanyaso, vibaka na matatizo mengine yanayojiri mitaani mwenu, usitegemee polisi wajue , siyo manabii wale, wanahitaji ushirikiano toka kwa wananchi.
 
Mlipanga cha kuongea kwani wewe ndio uliyeteswa? au ulikuwa nae wakati anapata mateso?

Hamna cha kupanga hapo, mwache yeye mwenyewe akitaka aseme yaliyomkuta akitaka anyamaze.

Wewe endelea na maisha yako.

Nashukuru...na sisi tungendelea na maisha yetu wakati wa michango na kumuguza sidhaan kama tungefika
 
Hivi ni kweli bao KOVA anatuona sisi mabwege? Kweli jamani?

Watu wengine wanaotuangusha ni waandishi wa habari wanaoalikwa,unakuta hawaulizi maswali mazito,,mtu(Kova) anatoa controversial statement badala ya kumhoji maswali for verification wanakurupuka kuandikia magazeti yao,,huwa nashangaaa sana
 
....Kova aliwataka Watanzania kuliamini Jeshi la Polisi na kusisitiza kuwa linafanya kazi yake kwa uadilifu na litahakikisha kuwa ukweli kuhusu tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi, unafahamika...

Afande Kova asitake kuwahadaa Watanzania kuwa ati Polisi wanafanya kazi kwa uadilifu mkubwa. Huu ni uongo na unafiki uliopindukia na kupitilliza. Kova anataka kuendeleza ile The Comedy show yake aliyoanzisha na bado anaendelea kui-edit!Watanzania tunajua kuwa Polisi kwa sasa wanafanyakazi ya CCM(Policcm)na serikali yake.

Kama kweli Kova anadai kuwa jeshi lake linafanya kazi kwa uadilifu basi mtu wa kwanza kuzungumza naye ili kupata Ushahidi usiotiliwa shaka alikuwa ni Dr.Ulimboka mwenyewe. Dr. Ulimboka aliweka wazi kila kitu baada ya kuokotwa kule Mabwepande kwa kuwataja wale wote waliomteka kwa majina na namba zao za simu! Kova na Jeshi lake la kisanii alitakiwa aanzie hapo kama kweli anafuata maadili na uadilifu wa kazi yake kama Polisi!

Lakini tunachoshuhudia sasa ni The Comedy Show isiyokuwa na mwisho. Tumeona Mkenya wa watu kwa jina la Mulundi ambaye ni mwendawazimu akikamatwa na kuwekwa ndani kama mtuhumiwa namba 1! Huu ni uongo wa mchana kweupe. Tumeona gazeti la Mwanahalisi likiishia kufungiwa kwa madai ya kuandika habari za uzushi ilhali ndilo liliweka bayana ya kile kilichojiri kwenye utekaji wa Dr.Uli kwa ushahidi wa majina na namba za simu za wahusika ambako Kova na wahuni wenzake ndipo walitakiwa waanzie pale kama kweli wanataka tuwaamini kuwa wanafanya kazi professionally.

Ni dhahiri kwamba nje ya hapo Kova anaendeleza upuuzi uleule wa kucheza na akili za Watanzania kwa kuendeleza The Comedy Show yake anayozidi kuihariri kila kukicha ili kujaribu kuwashawishi Watanzania kuwa huo ndiyo ati ukweli! Kova ni pambaf na hana akili yeye pamoja na huyo Kamanda wake mkuu-IGP Mwema.

Nahitimisha kwa kusema kwamba Tanzania kwa sasa hatuna Jeshi la Polisi mpaka hapo Polisi watakapoacha kutumiwa na mafisadi wa CCM na serikali yake!
 
Ulimboka najua unapita hapa...mimi jamaa yako...a commited friend toka Kadava mpaka kwenye "vijiwe"....najua tulipanga nini cha kuongea toka umerudi ili usiwaangushe Watanzania na Drs waliokupigania....Lakin kama umeamua kununulika...then u let us down!huu ni ushindi mkubwa kwa Serikali na Ikulu...Mwanahalisi na muongo na Rama Inghodi ulimsingzia...watu walìhitaji tamko lako ukiwa mzima wa afya njema

I support you sir. Kweli kabsaa kama Dr. Ulimboka anapitapita humu to see what his fellow doctors and friends are saying let him know that kama ataamua kuwa bubu basi atakuwa amewaagusha Watanzania,ndugu zake,madaktari,wanaharakati, marafiki na wapenda haki woote kabisa kabisa.

Dr.Ulimboka lazima akumbuke kuwa Watanzania ndiyo walioamua kuokoa maisha yake kwa kumchangia gharama zote za kumpeleka South Afrika kwenda kupata matibabu yenye ubora na uhakika na hatimaye kunusuru uhai wake. Kurudi nchini na kuamua kukaa kimya ni kuwasaliti Watanzania na Madaktari wenzake. Dr. Ulimboka must have to think twice be4 he decides to stay dumb!
 
Maisha matamu, kweli ulimboka kanyamaza! haya mambo yanahitaji ushujaa of the highest degree. I can imagine the courage Mwakyembe has! I admire him, not ULIMBOKA. Anyway, "OBULOLA TIBUGALUKILWA"! Wahaya wanasema (uhai hauji mara mbili)

Unajustify kwa Ulimboka kukaa kimya ingawa unajaribu kuonyesha kuwa ungependa afanye kama Mwakyembe. Si kweli kwamba matatizo yote yanatatuliwa kwa approach inayofanana. Tumwache Ulimboka afanye anavyoona ni salama kwa maisha yake kuliko kufanya sisi tunavyotaka
 
Wanakuja na episode nyingine!!!

Hivi hii filamu ilikuwa haijaisha?au sasa inageuzwa kuwa hadithi hadithi? Kova si
akawahadithie wajukuu zake nyumbani au bado hana mjukuu?watanzania hatutaki
kusikia hadithi yao na huyo Ulimboka wao!!!!
 
Ulinzi shirikishi mkuu, usipotoa taarifa ya manyanyaso, vibaka na matatizo mengine yanayojiri mitaani mwenu, usitegemee polisi wajue , siyo manabii wale, wanahitaji ushirikiano toka kwa wananchi.

tuwaambie mara ngapi? unapata tatizo unapiga simu polisi anakuambia umtumie vocha na hela MPESA ya kuweka mafuta kwenye gari maana gari halina mafuta...hiyo ndio bongo yetu mazee!! Sasa hivi silaha mkononi..unaweka mchuma ndani mtu akikuingilia ama zangu ama zake hamna cha polisi wala nini..kazi zao wameshindwa so wananchi tumeamua kuchukua sheria mkononi
 
Unajustify kwa Ulimboka kukaa kimya ingawa unajaribu kuonyesha kuwa ungependa afanye kama Mwakyembe. Si kweli kwamba matatizo yote yanatatuliwa kwa approach inayofanana. Tumwache Ulimboka afanye anavyoona ni salama kwa maisha yake kuliko kufanya sisi tunavyotaka

Na ndiyo maana nikasema kuwa maisha hayaji mara mbili, in order to preserve life, let him act the way he thinks fit! Ila alisema kuwa atasema yote alipokuwa airport (according to magazeti???). Uamuzi wake ni sahihi na wa maana sana. familia yake inamhitaji kuliko kufia maslahi ya madaktari- It does not pay to your family to be a "dead hero"
 
Ulimboka najua unapita hapa...mimi jamaa yako...a commited friend toka Kadava mpaka kwenye "vijiwe"....najua tulipanga nini cha kuongea toka umerudi ili usiwaangushe Watanzania na Drs waliokupigania....Lakin kama umeamua kununulika...then u let us down!huu ni ushindi mkubwa kwa Serikali na Ikulu...Mwanahalisi na muongo na Rama Inghodi ulimsingzia...watu walìhitaji tamko lako ukiwa mzima wa afya njema

Anasubiri Rama aje amalizie kazi aliyokosea mwanzo,kisha ataweleza watu atakaokutana nao huko either
Mbinguni au motoni akifika"
 
Hawa policcm kweli hamnazo!
Angezungumza ulimboka wangesema swala lipo mahakamani ila wao halipo!
Kwanza kwa taarifa yenu hatuna imani na nyie!...
 
Nitaliamini jeshi la polisi Tanzania siku nitakapokuwa kaburini. Limepoteza imani na uadilifu na hakuna anayelisikia. Limejaa rushwa na askari wanaoshirikiana na wahalifu kwa namna zote. Ni kinara wa uvunjifu amani na usalama kwa watanzania. Ile main role ya kulinda raia na mali zake imegeuka kuwakandamiza raia na mali zao. Wabishe. Aibu sana unaenda polisi kuripoti wizi wa mali say ya milioni mbili halafu polisi anakuambia nipe milioni mali utazipata ohh kuna majamaa pale sehemu fulani ndiyo wezi mara wanataka hela ili warudishe. Sasa kama wanwafahamu kwa nini wasiende kuwakamata? Udhaifu huu sijui mwisho wake ni lini.
 
Back
Top Bottom