ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,007
Hahahaaaaa big hakwepi hili butiama anakuona jehanamu.,Ben muasis wa Green Guard Nyerere anakusubiri kwa Sir God..Akina mzee mtei na kundi lake ndiyo walimuuwa.
Hahahaaaaa big hakwepi hili butiama anakuona jehanamu.,Ben muasis wa Green Guard Nyerere anakusubiri kwa Sir God..Akina mzee mtei na kundi lake ndiyo walimuuwa.
Liwalo na Liwe...,wapigwe tu.,anaeua nae auwawe....Tusilumbane, ni utekelezaji wa kauli ya pinda. Na bado mengi tutayashuhudia
Wakati mwingine tumieni hata akili kidogo tu kama mnazo. Sasa wahusika wa polisi wamethibitisha kufanya hivyo, wewe una judge gazeti badala ya kujadili hoja! Suala hapa ni kweli au si kweli kuwa polisi walivamia nyumbani kwa Mbowe si nani karipoti uvamizi huo!Taarifa yoyote ikishakuwa na jina Tanzania Daima inakuwa ya UDAKU.
Umekariri! Si kila siku ni J2!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu Polisi wanatumika tu kutekeleza matukio ya wakubwa zao, pamoja na hayo wao pia wanastahili lawama. Haya yote yanayoendelea DHAIFU atakuwa anayafahamu hivyo yeye ndio anastahili lawama nyingi zaidi. Nchi iko katika njia panda bila hekima na busara za hali ya juu inaweza kutumbukia kwenye machafuko ya kutisha.
Tanzania Daima ni gazeti la propaganda na kumsifia Mbowe na CHADEMA
Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.
-------- wewe! Tanzania ina taratibu zake kisheria na sio polisi wanapojisikia!Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.
Kobello, kesi ya kuku hapelekewi jogoo!Kuna tofauti kati ya video ya Arusha na video za CDM kupanga ugaidi, elewa hilo.
Arusha, crime imetokea, watu wamekufa halafu unaficha ushahidi?
Pia, itakuwa ni uzembe wa kufikiria ukidhani kuwa mtu kama mwigulu hayuko under surveillance .... of course he is!!
Kuna intelligence CDM, CUF, NCCR hata CCM. Ukiwa kiongozi wa kisiasa most likely utakuwa under surveillance, hata baadhi ya wachangiaji humu wapo under surveillance, huwezi kuniaminisha mtu kama Maxence, au Mchambuzi asiwe spied? Au hata Dr. Slaa na wengineo .. tofauti ni who is spying who.
iT'S A DIRTY GAME!
Watawala wa sasa wanawaharibia sana hawa vijana makamanda wa Polialsi kwasababu kwa utaratibu unaopendekezwa ktk rasimu ya Katiba Mpya hawataweza pita mchujo mkali utaokuwa unafanyika kuwapata wakuu wa Taasisi muhimu za Serikali na Ulinzi na Usalama.
Polisi ndio wanaiharibu hii nchi.
Bila juhudi za makusudi Polisi wanafanya siasa za hatari za kuvuruga nchi.
wewe waache waendelee kutugawa na kujenga chuki kuu dhidi ya polisi, ccm na JWTZ.Fursa ya kupata uhuru kamili wakati mwingine inaweza kutoka nje. kwani waganda walivyo choka kunyanyaswa na IDD AMINI SI WALISHUKURU SANA TANZANI ilipo ingia kuwakomboa na ndio maana vita ile ilikuwa ya muda mfupi sana. ipo siku tutasema sasa baaasi.Kwakweli matendo ya aina hii hayafai, yatasababisha uvunjifu wa amani. Mi naamini kama Mbowe anatakiwa, aitwe kwa taratibu zilizowekwa!
Yeye si gaidi wala jambazi. Anastahili heshima yake. Lakini pia matendo kama haya yakiendelea, tunu ya amani yetu itapotea.
Kwa sasa TZ inao maadui wengi, naomba tuwe makini na matendo ya kutugawa, tusimpe adui fursa ya kupenyeza mamluki kirahisi!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ina maana kuna vikundi/kikundi kinajifanya ni polisi kwa ajiri ya kufanya uhalifu kwa manufaa ya kisiasa?."Sina taarifa polisi wangu kumtafuta Mbowe," alisema Wambura.