Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Kuwatia watu hofu ni mbinu ya mwisho ya serikali iliyoshindwa kushawishi raia.hamna jipya hapa.ni yale yale tu yalitokea hata kwa Yesu lakini hadi leo ukristo upo na Rumi haipo.watoto wetu watarithi nchi yenye haki na uhuru anayoipigania Mbowe na mawazo yake ya ukombozi yatadumu lakini serikali hii isiyojali raia itabaki simulizi muda si mrefu,just wait and see!
 
Makamanda wa mbowe kama kweli jeuri na mafunzo yao ya ugaidi kutoka italia mbona hawajapambana na polisi waone cha moto.
 
Mimi lawama zote nazielekeza kwa Dhaifu! Angekuwa mkali kidogo haya yote yasingetokea!? Nina wasiwasi kama ataweza kuifikisha salama nchi yetu 2015! Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA na Viongozi wake.
 
Tawala zinazoanguka hizi ndiyo dalili zake, ishara za siku za mwisho
 
Unamaanisha hichi kilicho chini ya Kamishna Mkuu Inspector Madelu Nchemba..

inspekta general lwakatare na vibaraka wake akina kilewo chini ya usimamizi wa slaa na mbowe, mr dj
 
Mimi lawama zote nazielekeza kwa Dhaifu! Angekuwa mkali kidogo haya yote yasingetokea!? Nina wasiwasi kama ataweza kuifikisha salama nchi yetu 2015! Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA na Viongozi wake.

ngoja mshughulikiwe sawa sawa mpate adabu wamwagia watu sumu nyie ndo mtaeleza kwann kuku hana meno
 
Polisi huu ni wakati wa kuonesha kuwa mko imara mshenzi yoyote akikatisha mbele yenu aipate fresh.
 
Tusilumbane, ni utekelezaji wa kauli ya pinda. Na bado mengi tutayashuhudia
 
Heshima Mbele mkuu.

Nadhani kuna haja ya kubadili strategies za mashambulizi hapa JF.
KWa mfano tukio kama hili na Polisi wenye silaha na gari kuvamia nyumba ya Mwenyekiti wa chama cha Upinzani MH Mbowe usiku wa manane si tukio la Polisi wa Chini kuamua kufanya hivyo. Mkuu wa Polisi wa Wilaya hana Kende nzito za kuwa na thubutu hii. Amri ni lazzima imetoka kwa IGP ambaye anapokea command moja kwa moja kutoka wa MH Jakaya Mrisho Kikwete.
KWa hiyo POLISI kuvamia nyumba ya Mbowe usiku ni agizo maalumu la Rais Jakaya Mrisho Kikwete si OCD RPC wala IGP ni Rais JM Kikwete mwenyewe.

Labda niseme hivi.
Polisi kama Polisi hawana interest yeyote ya kukamata wanasiasa. Polisi wana interest ya kukamata watu wa kawaida na kuwabambikia makosa ili wavute kitu kidogo.
Kesi zote za kukamata wana siasa siku zote huwaacha mifuko wazi hawaambulii hata thumuni. Sasa kama last time hawakupata kitu baada ya kumkamata mwanasiasa unadhani siku nyingine watarudia?? No way!

Viongozi wa ngazi za juu kabisa wa CCM, yaani Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete, Makamu mwenyekiti wa CCM Mangula na DR Wa meno ya Tembo MH Kinana na Bosi wa Idara ya Terrorism MH Mwigulu Nchemba na CC nzima ya CCM ndiyo MASTER PLANNERS WA shughuli nzima za kuvamia nyumba za viongozi wa chama cha CDM usiku wa manane.

Tatct yao ni kutoa amri kwa POLISI wadogo kufanya zoezi hilo kwa ukatiri wote wanaoweza kufanya na wao kama viongzi wa juu wa CCM na serikali yake kujenga kuta zito la Berlin kujitenga na UHARAMIA wa kuamuru POLISI kufanya Uterrorist.

Tact hii ya CCM ina nia ya kuwashawishi wananchi kwamba Matukio yote ya KIHUNI yanayo fanywa na POLISI ya Kupiga WABUNGE kuwakamata wabunge usiku wa Manane na kuwa sweka Lupango, Kukata Mapanga wabunge ni matukio yanayosababishwa na CDM kuwa na siasa isiyo pendwa Kumbe ni Mipango thabiti ya CCM ya kutekeleza UHARAMIA unaopangwa ngazi ya Taifa wa kukhakikisha inaendelea kutawala BILA RIDHAA ya WATANZANIA.

Mwenyekiti wa CCM MH Rais Jakaya Mrisho Kikwete ndiye Mlezi na Mdhamini mkuu wa GREEN GUARD hasa ukizingatia kwamba naye ni mwanajeshi by Professional. Green gurd in Terrorist organisation ambayo imeandaliwa na CCM kupiga wananchi wote nchini Tanzania wanaopinga HILA chafu za CCM za kuendeleza Utawala wake wa mabavu.
Greengurd ni Terrorist group ambayo ni state sponsered kwa maaana kwamba wana direct access ya kila aina ya silaha Bunduki na Mabomu.
Kifupi ni kwamba Greengurd ndiyo waliompeleka kijana wa Kurusha Bomu la mkono katika mkutano wa CDM na kijana mwingine wa Greengurd ndiye aliyerusha risasi kuzuia wananchi wasimkamate mrusha bomu.
MH Lukuvi kwa vile alifika hapo alipo kwa ajili ya Gwaride la Chipukizi wa CCM akiwa mwalimu wa shule ya msingi Isimani!! Alikuwa wa kwanza kutetea wajukuu zake wa Terrorist ambayo mpaka leo bado ni muumini wa kweli.

Akina Mwigulu kwa upande mwingine wanatumika kama chupi tu, muda ukiisha wanakuwa recycled na wengine wapya.
Hata hivyo kwa kuhakikisha kwamba nao Positions zao katika Kuterrorize viongozi wa CDM zinakuwa sealed wanajitahidi sana kuweka mikakati yao binafsi ambayo wakati mwingine hata boais wao MH Kikwete haamini kama wanaweza Kuua watu and get away with it easily.

Sasa hivi wameshajua kwamba unaweza kurusha Bomu la Mkono na kuua robo ya watu kwenye mkusanyika wa CDM na kisifanyike chochote ikiwa ni pamoja na Upelelzi wa Polisi na vyombo vya habari kuandika kwa ufasaha.
Mkakati mzima wa UGAIDI wa CCM ni kwa viongozi wa juu kabisa wa CCM kupanga Njama za kuua Watanzania na kuziweka lawama zote mikononi mwa POLISI na watu wadogo kama MWIGULU.

Mkuu Polisi wanatumika tu kutekeleza matukio ya wakubwa zao, pamoja na hayo wao pia wanastahili lawama. Haya yote yanayoendelea DHAIFU atakuwa anayafahamu hivyo yeye ndio anastahili lawama nyingi zaidi. Nchi iko katika njia panda bila hekima na busara za hali ya juu inaweza kutumbukia kwenye machafuko ya kutisha.
 
Mbowe aombe radhi kwanza kwa kukubali mwaliko wa serikali ile ile ambayo aliionesha utaifa; sijui kwanini serikali haioneshi utaifa na heshima!
 
Naomba Mungu sana hii hali ya utulivu iendelee hadi saa matokeo yanatangazwa na ushindi uwe kama wana A_Town tunavyotarajia .
 
Polisi wana haki ya kumkamata mtu muda wowote wanaopenda.

Ni kweli unachosema ila inategemea na kosa alilolifanya na kama hana anuani ya kueleweka aka shughuli inayojulikana inayomweka mjini vinginevyo muda wa kazi ukishapita hizo biashara za kukamatana huisha zinabaki zile za dharula za askari wa doria
 
Maana ya warrant ni kuipunguzia jeshi la polisi nguvu ya kuingilia uhuru wa raia ambao upo ki katiba....kuhusu
kufanyiwa upelelezi siyo kweli mbona Mwigulu alisema anazovideo zaidi za kuonyesha Ugaidi wa CDM anadai muda ukifika atazitoa kwa polisi...mbona hafuatwi usiku? Inamaana polisi wana double standard?
Kuna tofauti kati ya video ya Arusha na video za CDM kupanga ugaidi, elewa hilo.
Arusha, crime imetokea, watu wamekufa halafu unaficha ushahidi?
Pia, itakuwa ni uzembe wa kufikiria ukidhani kuwa mtu kama mwigulu hayuko under surveillance .... of course he is!!
Kuna intelligence CDM, CUF, NCCR hata CCM. Ukiwa kiongozi wa kisiasa most likely utakuwa under surveillance, hata baadhi ya wachangiaji humu wapo under surveillance, huwezi kuniaminisha mtu kama Maxence, au Mchambuzi asiwe spied? Au hata Dr. Slaa na wengineo .. tofauti ni who is spying who.

iT'S A DIRTY GAME!
 
Back
Top Bottom