Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

Tanzania Daima ni gazeti la propaganda na kumsifia Mbowe na CHADEMA

Uhuru na Mzalendo je?????........By the way huo ni mtazamo wak; Na ngependa asifiwe nani na kwa sababu gani? Jakaya Mrisho Kiwete? CCM ? Mwigulu Nchemba? au wewe????
 
Mbona habari yenyewe sio ya kuthubitika maana babu amewahi sema mengi, mabox ya kura kule mbeya... Ameshinda uchaguzi ... Huyu babu mimi simuelewi sana kwa kweli au laana ya Mwongo kukaa kwenye hekalu? Na kuasi?
 
Dawa ni kujilinda wenyewe kwani mafia ndio wanaoongoza nchi hii kwa sasa. Angalia uuzaji wa madawa ya kulevya ilivyoshamiri, angalia ujambazi unavyokuwa na angalia ukiukaji wa sheria za nchi unavyokuwa.
 
Hii inadhilisha kuwa polis ndio waliohusika kuwatesa Dr Ulimboka na Mwandish Kibanda.. Pili inaonyesha polis wenyewe hawazijui sheria za nchi ndo mana wanatumika ovyo na kwa kukurupuka, ni aibu sana kwa jeshi hili... Kwa sasa hakuna kiongoz yoyote wa polis anaeheshimika, pamoja na IGP mwenyewe, ovyo kabissaa. NAKEREKA SANA NCHI KUFIKIA HATUA HII KIZEMBEZEMBE....
Mkuu kumbuka polisi ni jeshi siyo kituo cha haki za binadamu kunakipindi nguvu hutumika.
 
Ujinga ni kile unachosema sio unachofikiria, HAKI ISIYO NA KIKOMO NI UTUMWA, nchi inaendeshwe kwa taratibu na katiba, usiku kumfuata mtu akueleze jambo lolote sio kawaida wala utaratibu wa nchi hii. SASA HARAKA IKO WAPI MBONA WALIPOKUTA HAYUPO HAKUNA IMPACT YOYOTE NI SAWA TU WANGEENDA ASUBUHI KESHO YAKE, kosa ni kwa watu waliofeli kuwapa silaha, tutakoma

kwa hiyo unajitungia sheria nyumbani kwako na mke wako zitumike nchi nzima..kama ni mhalifu, muuaji gaidi mshari unakwidwa wakati wwte tu
 
Tanzania Daima ni gazeti la propaganda na kumsifia Mbowe na CHADEMA

Uhuru na Mzalendo je?????........By the way huo ni mtazamo wako; Na je,ungependa asifiwe nani? Jakaya Mrisho Kiwete? Kinana jangili wa tembo? CCM ? Mwigulu Nchemba? au wewe????
 
polisi huenda walienda kuogelea kwenye swimming pool wakazuga si unajua walivyo majinglish.
 
kwa hiyo unajitungia sheria nyumbani kwako na mke wako zitumike nchi nzima..kama ni mhalifu, muuaji gaidi mshari unakwidwa wakati wwte tu
SHABIKIA HAKI HATA KAMA HAMNAZO UTAONEKANA MTU, MBOWE kawa jambazi lini, gaidi lini au unasema ili ulipwe?? unatumikia tumbo mkuu, pole jaribu tena baadaye.
 
Dawa ni kujilinda wenyewe kwani mafia ndio wanaoongoza nchi hii kwa sasa. Angalia uuzaji wa madawa ya kulevya ilivyoshamiri, angalia ujambazi unavyokuwa na angalia ukiukaji wa sheria za nchi unavyokuwa.

ndio mmeamua kuanzisha kikundi cha mafia kuendesha uasi kwa mwavuli wa kujilinda?
 
Wameuwasha moto wenyewe walisema wataweza kujilinda sasa mbona kelele watulie dawa iingie.
 
hii ni habari ya uongo. slaa anaendeleza siasa zake za maji taka kwa kuzua uongo. habari iliandikwa Tanzania daima ili kutafuta gia ya kupata la kusema mkutanoni. slaa ni hatari kwa amani ya nchi hii. naomba msajili aanze kufuatilia tz daima kwa karibu. llinahitaji likizo ya miezi 6. udaku na uchonganishi vimezidi ktk gazeti hili.
 
shughulisha ubongo huo sio unatumia kichwa kufugia tu nywele. Google red brigade italy uone mauwaji mlioyafanya

Ubongo wako hauna faina sababu hauna uwezo wa kuchanganua that of Italia and that of Tanzania ya chadema Mwigulu kawakokoteni wengi sana nyie
 
Back
Top Bottom