Kama una ushahidi peleka polisi sio kutuhumu watu bila sababu kana kwamba kuchukua pesa benki ni jambo la siri sanaKama tahira ni wewe kwani wafanyakazi wangapi wa benki wameisha kamatwa kwa kushirikiana na majambazi acha kutetea kitu usichokijua au kwa maslahi yako.