Hujui upelelezi wewe kima bora ukae kimya si kila kitu lazima ufungue domoIlitakiwa mteja akipigwa risasi basi hilo tawi la hiyo benki ambayo mteja ametoka linatakiwa kufungwa kwa muda kupisha uchunguzi wa polisi...
Na wafanyakazi wote wanatakiwa wapelekwe mahabusu hadi wamtaje aliyechonga hilo deal...
Inasikitisha mtu unakuwa mtumwa wa hela zakoo..
Maagizo ya kamanda ya kisiasa unamwambia Jambaz aanze kufunga virago,kwani imeshasemwa mara ngapi?Kuna ukweli mwingi katika hili lakini pia baadhi ya police pia ni washirika wakuu wa majambazi na ujambazi
Tatizo lingine,mtu anayechukua pesa nyingi anajulikana maana anaenda room ya Bulk Teller na kila mmoja anaona,hakuna usiri,wateja walio folen wooote wanamuona aidha na begi au fuko la kakiNamna huduma inavyotolewa nayo inachangia tatizo,unakuta mteja anakaa muda mrefu halafu bank teller anamuita mteja kwa jina!(kimantiki kama kuna mtu mbaya,ataanza kumfuatilia huyo aliyeitwa kwa jina)
Namna nyingine ni kuwa na watu wanaokaa muda mrefu bila kupewa huduma,na wala hawaulizwi wanasubiri nini?!
Shida nyingine askari hawaangalii waingiao,wanaotoka wala kuhoji watu wanaokaa muda mrefu maeneo ya benki bila kupata huduma.
Vile vile unaweza kukuta askari anapiga stori au anasoma gazeti kwenye lindo!
Ilitakiwa mteja akipigwa risasi basi hilo tawi la hiyo benki ambayo mteja ametoka linatakiwa kufungwa kwa muda kupisha uchunguzi wa polisi...
Na wafanyakazi wote wanatakiwa wapelekwe mahabusu hadi wamtaje aliyechonga hilo deal...
Inasikitisha mtu unakuwa mtumwa wa hela zakoo..
kweli mkuu, hicho hata mimi kinanikera sana!! kwanini wasipore hela tu? maana hela katafuta kwa jasho lake wao wanachukua tu so kupora tu ingetosha, sasa kukatisha na uhai wa mwandamu mwenzio mwenye familia inayomtegemea huwa inaniuma sana!!Kuua tu mimi ndio kinanikwaza
Wanakuwa washachanganyikiwa na tayari damu za marehemu waliopita zinawaandamakweli mkuu, hicho hata mimi kinanikera sana!! kwanini wasipore hela tu? maana hela katafuta kwa jasho lake wao wanachukua tu so kupora tu ingetosha, sasa kukatisha na uhai wa mwandamu mwenzio mwenye familia inayomtegemea huwa inaniuma sana!!
kweli mkuu, damu ya mtu si.ya kawaida, ndo maana ni Mungu pekee aliye na idhini ya kutoa uhai wa mwanadamu aliyemuumba, mwingine ukifanya hivyi ndo hayo uliyosema, lazima uchanganyikiwe tu!Wanakuwa washachanganyikiwa na tayari damu za marehemu waliopita zinawaandama
Wewe unaweza kuwa mmoja wao mtu aliye kando anawezaje kujua kiasi kilichochukuliwa na mtejaMnaweza kulaumu wafanyakazi bure kumbe kuna majambazi yanakuwa ndani ya benki yanatoa taarifa kwa wenzao nje yaani siku hizi benki watu wanatumia simu ndani mule.
Ujambazi ukiisha watakula wapi?JESHI LA POLICE BADO HALIJAKIZI VIWANGO UNAONA HATA JAMII YA SASA INAONEKA IMEJAA VURUGU BADALA YA USTARABU.POLICE IKIAMUA MIEZI SITA HAKUNA JAMBAZI TZ.
Acha utaahira ndugu yangu majambazi yana mbinu nyingi sana kujua umechukua sh ngapi ni kitu chepesi teller anapohesabu pesa pale kaunta kila mtu anaona kama mtu yupo pale kwa kazi hiyo atajua tu kiasi alichochukua mtu, hawa watu wa benki mnawasingizia bure hakuna mtu anaweza risk kazi yake na kufungwa juu kwa milioni kumi kumbuka sasa simu hazina siri tena.Wewe unaweza kuwa mmoja wao mtu aliye kando anawezaje kujua kiasi kilichochukuliwa na mteja
Ni kweli wasiruhusiwe kuwa na simu muda wa kazi, hii itasaidia sana kuvunja mawasiliano yao na majambazinapendekeza pia wafanyakazi wa benki wasitumie simu zao mida ya kazii..maana hili nalo hufanikisha michongo kati ya majambazii na wafanyakazi wa benki
Hivi unafikri kuna mtu anaweza kumpa siri jambazi kwa shilingi milioni kumi ambapo ikijulikana atafukuzwa kazi na kufungwa.Ni kweli wasiruhusiwe kuwa na simu muda wa kazi, hii itasaidia sana kuvunja mawasiliano yao na majambazi
Kama tahira ni wewe kwani wafanyakazi wangapi wa benki wameisha kamatwa kwa kushirikiana na majambazi acha kutetea kitu usichokijua au kwa maslahi yako.Acha utaahira ndugu yangu majambazi yana mbinu nyingi sana kujua umechukua sh ngapi ni kitu chepesi teller anapohesabu pesa pale kaunta kila mtu anaona kama mtu yupo pale kwa kazi hiyo atajua tu kiasi alichochukua mtu, hawa watu wa benki mnawasingizia bure hakuna mtu anaweza risk kazi yake na kufungwa juu kwa milioni kumi kumbuka sasa simu hazina siri tena.