Polisi Arusha wameaibika..

intelijensia isiyokuwa na intelijensi

qualification ya kuajiliwa Polisi tanzania ni Division Four yenye pointi 28 ambayo ni sawa na Division Zero na sawa na darasa la saba. Mtu mwenye elimu ya kiwango hicho anaweza akajua hata maana ya intelijensia?
 
qualification ya kuajiliwa Polisi tanzania ni Division Four yenye pointi 28 ambayo ni sawa na Division Zero na sawa na darasa la saba. Mtu mwenye elimu ya kiwango hicho anaweza akajua hata maana ya intelijensia?

intelijensia hii hii ilitumika na ACP Zombe kufanya mauaji ya wafanya biashara wa mahenge..... sinners ..... and they will be defeated soon
 
What the polices forces, especially at the moment, decribe as Intelligence report is nothing more than absolute lies, and above all the forces have proven that it is now being involved (knowingly or unknowingly) in political shenanigans.I sympathise with them.
 
One political oriented police force is a dangerous gamble for a contry security! we have a lot to be done
 
chadema waombe polisi wasiwe wanaenda kwenye mikutano yao maana inaonekana kazi yao ni kupeleka fujo tu badala ya kulinda amani

that is the main point. ili ionekane kwamab opposition hawana maana ni vurugu tu. ndio inteleginsia yao hiyo.
 
si unajua serikali yetu,ingawa wanajidai hawaamini ushirikina ilhali usiku hawakosekani angani,huwezi jua labda hizo ripoti za kiinteligensia walizipata kutoka kwenye darubini za shehe yahya.usishangae kwani alishawahi kutabiri uchaguzi kuahirishwa lakini,shame on him ,tumepiga kura.
HAMKUMBUKI ALIAHIDI KUMLINDA MKWERE NA MAJINI YAKE PINDI ALIPOANGUKA JANGWANI? Labda aliogopa maandamano kumwaribia mteja wake,dats why akawapatia polisi hizo ripoti za kiinteligensia
 
Waliwaua na kuwapiga wanachadema wa arusha waliokuwa wanaandamana kudai haki yao wakisingizia taarifa za kiintelijensia.jana polisi wakaacha chadema waandamane wenyewe ili waone kama watazua vurugu ili wapate cha kusema. Kwa mshangao wao mashujaa wetu wakaagwa kwa amani bila fujo yoyote.
kwa hili polisi wameumbuka na taarifa zao za kiintelijensia

Ukweli vijana wale hawajauwawa na Polisi Arusha bali ni CCM Arusha ikishirikiana na makao makuu Dar na si Dodoma! mkubali msikubali ndivyo ilivyo
 
qualification ya kuajiliwa Polisi tanzania ni Division Four yenye pointi 28 ambayo ni sawa na Division Zero na sawa na darasa la saba. Mtu mwenye elimu ya kiwango hicho anaweza akajua hata maana ya intelijensia?

Kweli kabisa kwa hali hii lazima wawe mbumbumbu wa kutosha,hawa jamaa ni mzigo tu kwa nchi!!
 
Nasikitika kwamba kuna watu wasio na hatia wamepoteza maisha yao-"The Arusha Heroes/martyrs". Lakini lakini ndo watambue sababu zao za kipuuzi ndo zimefika mwisho. Arusha imekuwa precedent sasa! HAKUNA CHA INTELIJENSIA YOYOTE HAPA NCHINI! KAMA IPO WAILEKEZE KWA MAJAMBAZI NA SIO WAANDANAMAJI.
 
Polisi awana haya awa, angalia kiwango cha elimu, hakuna anaeenda polisi kutoka form four mwenye division one wala two wala three. Labda mtoto wa kigogo anayejua god father atamnyanyua. Hiivyo tusiwalaumu. Ni uwezo wa kufikiri na kuamua.

naunga mkono hoja,ili halina ubishi hata kidogo,na uwa wanafanya ajiri kwa kuchukua form 4 ili wawe tayari kupokea order za kijinga,tunawajua sana hao polisi hata mitaani vichwani hakuna kitu ni wachache mno wenye kupambanua jema na baya.

mimi binafsi nilikuwa namheshimu kamanda mwema siku 2 kabla ya mauaji nilikuwa sehemu natetea utendaji wake hasa kipindi cha uchaguzi,lakini kwa sasa sijui alikubali vipi kutumika kipumbavu na kuondoa sifa yake kiutendaji!,ilikuwa uwezi kumlinganisha na mahita lakini kumbe wote ni ...............!,inasikitisha kuwa na IGP wa aina hii kwa karne hii.
 
Jana nimethibitisha bila ya shaka kabisa kwamba Serikali yetu siyo makini kabisa. Wameuwa watu kwa kisingizio cha taarifa za kiinterejensia kuwa CHADEMA wanapanga vurugu. Jana wamewaruhusu CHADEMA Kutoa hukumu kwa PILISI na serikali yao kwamba wao ndio chanzo cha VURUGU nchini. KWA JINSI mandamano ya jana yalivo jaa watu lakini hata sisimizi hakuumizwa bila polisi hata mmoja. HUKUMU ya Jana imeianika CCM kwa wananchi kuwa wao ndio wavunja amaini nchini kwa ktumia polisi.
 
Huyu Said Mwema kazi imemshinda!!! Kwanza ile tume ya kuchunguza madawa ya kulevya kule airport kwa mtoto we Mengi ni uzushi mtupu!! Jeshi limekumbatia mafisadi. Haya; na ili la Arusha ndio limethibitisha kabisaaaaaa!!!!!! Achia ngazi.
 
Polisi awana haya awa, angalia kiwango cha elimu, hakuna anaeenda polisi kutoka form four mwenye division one wala two wala three. Labda mtoto wa kigogo anayejua god father atamnyanyua. Hiivyo tusiwalaumu. Ni uwezo wa kufikiri na kuamua.

Oh! Kumbe inawezekana hata akina Mwema na Adengenye wamo kwenye kundi hili!Ndo maana maamuzi ya ajabu.
 
Waliwaua na kuwapiga wanachadema wa arusha waliokuwa wanaandamana kudai haki yao wakisingizia taarifa za kiintelijensia.jana polisi wakaacha chadema waandamane wenyewe ili waone kama watazua vurugu ili wapate cha kusema. Kwa mshangao wao mashujaa wetu wakaagwa kwa amani bila fujo yoyote.
kwa hili polisi wameumbuka na taarifa zao za kiintelijensia

Hiyo ni 9. funga kazi ni pale mapolisi walipoanza kuzua hoja kwamba vifo vile ni kutokana na ajali za pikipiki na sio risasi! Wanajua walifyongo na sasa wanatapatapa kutafuta sababu kufunika sura zao. Daktari alipowaambia ameikuta ganda la risasi katika mwili wa mmojawapo wakaanza kukata viuno kwa aibu, lakini wananchi walipolishitukia dili na kuwapa dakika tano kutoa habari, si walitoa? Hivyo ndivyo walivyo mapolisi sio watu hao na wala haki haijulikani katika msamiati wa vitendo vyao. Hivyo ndivyo wabambikiavyo raia wema kwa majina ya "Jambazi sugu, Kibaka, Mzururaji....nk" pale wanapoona kidogodogo hakipo na wameamua kuua. Sio wote wanaouwawa na mapolisi ni majambazi. Mapolisi ndio majambazi haswa kwani ujambazi haufanyiki pasipo kwanza kutaarifiwa kuwepo kwa tukio hilo. Wakizidiana malipo ndio hutegesheana, au wakienda kwenye anga za wengine.

Sijasahau wezi walipobomoa kijiwe changu na kuondoka na mali zangu nilipowataarifu polisi walikuja wiki moja baadaye wakinisanifu, lakini kumbe polisi mmojawao alishaniambia wiki kabla ya tukio kwamba nitakiona kwa sababu tu sijamruhusu ampigie mpenzi wake kwa kutumia simu ya kijiweni bure. Ninapoambiwa niwasaidie mapolisi kuwaambia ubaya fulani unafanyika mahala fulani huwa kichwa kinaniuma maana nilishaonja joto ya jiwe sio mara moja. Waangalie hivyohivyo sio watu wale. Ila wasiguswe wenyewe!
 
Andengenye na Zuberi wanang'ang'ania nini siwaondoke tu?
Mwema afukuzwe kazi maana akijiuzulu bado kapewa heshima.

Nani amfukuze kazi mwema? wakati kafanya yote aliyotuma na bwana wake aliyempa ulaji? Hii ni kesi ya ngedere aliyekamatwa anakula mahindi kwenye shama la binadamu akapelekwa mahakamani, hakimu nyani, mzee wa mahakama tumbili. unategemea zuri upande wa binadamu kweli? huyo atakuwepo, tukiandamana teja atatuua, na hatafukuzwa.
 
Ni heri wangeruhusu tu ule mkutano wa 5th ufanyike, watu wa 12th walikuwa wengi sana kwanza ukizingatia ilikuwa ni siku ya mapumziko na watu walikuwa na hasira sio mchezo kila mtu alisema liwalo na liwe walikuwa wamejitoa muhanga kabisa. Na polisi wamejifunza sidhani kama watarudia kosa tena.

Wale ni machizi kuanzia kwa katibu wao, mkulu, RA EL, nawengine watafuna nchi, sema tujipange, cku nyingine police wakiamusha varangati, tutunishiane vilivyo misuri. Mfano yule bwana waliovunjia kioo, ningekuwa mimi wakati gari liko kwenye motion, nisinge wakosa askari watatu, hata ningeondoka na miguu yao.
 
Back
Top Bottom