MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,760
- 48,408
Huna uzalendo hii ishu ilipaswa uipigie kelele utawala wa sheria hakunaga kwani TZ hivi kila mtu akiamua kusettle dispute kwa kukata mikono si tutakuwa walemavu wote Disgrace kabisa kwa wakenya wewe!
Kuna mengine ya kujitakia, yaani unikuchukulie mke halafu uvuke mpaka kutoka kwenu huko Tanzania uje hadi hapa Kenya kupambana na mimi katika nchi yangu.
Huyo jamaa japo ni Mkenya mwenzangu lakini kwa hili simtetei maana kafuata majanga mwenyewe. Mimi ukinichuklia mke nakuacha uishi naye maana amekufuata kwa akili zake akiwa mtu mzima.