Polisi akatwa mkono katika ugomvi wa kugombea mwanamke

Polisi akatwa mkono katika ugomvi wa kugombea mwanamke

Kwani kuna kibali cha kumfuata mke, halafu huyo bora akatwe tu maana mwanamke akikuacha aende tu haja gani ya kuhangaika.
Huna uzalendo hii ishu ilipaswa uipigie kelele utawala wa sheria hakunaga kwani TZ hivi kila mtu akiamua kusettle dispute kwa kukata mikono si tutakuwa walemavu wote Disgrace kabisa kwa wakenya wewe!
 
Wamemkomesha. Safi sana.
Miaka 50 bado unagombea mwanamke? Usikute hata familia yake ameshaitelekeza.
Vita ya kugombea mwanamke haijawahi kumuacha mtu salama.
Pole zake.
 
Huna uzalendo hii ishu ilipaswa uipigie kelele utawala wa sheria hakunaga kwani TZ hivi kila mtu akiamua kusettle dispute kwa kukata mikono si tutakuwa walemavu wote Disgrace kabisa kwa wakenya wewe!
Hawa polisi na wanajeshi huwa wanyanyasaji sana.
Wamefanya vizuri kulikomesha
 
Asa sijui atastaafu manake kwa askari utimamu wa mwili ni muhimu sana Mapenzi yamemletea kilema!
Mapenzi waachie vijana. Miaka 50 unagombea mwanamke?
Aliona yy ni polisi kwahiyo atabeba mwanamke. Shenzy zake kbsa.
Huo umri ni wa kukaa na familia yake akatulia.
Ona sasa kawa kilema, mwanamke yupo mzima na kwa hali hiyo atagongwa na wengine.
 
Mwanamke akikimbia muache. Kwann uhangaike wakat wapo wengi.
Mwanamke akitoroshwa toka kweny mikono yako huyo hakupend 100%
 
Dah watu wanakosa Sana subira wakati huu kila uchwao watu wanaumizana, wanauana kisa mapenzi... Tarime hawataki masihala
 
Kwani kuna kibali cha kumfuata mke, halafu huyo bora akatwe tu maana mwanamke akikuacha aende tu haja gani ya kuhangaika.
Mtazamo wako sio sahihi, hakuna anayependa matatizo na hata kama yeye angelijua kwamba anaenda kukatwa mkono asingelienda.
 
Naona huyo inspector alipoingia Tarime alikosa mtu wa kumpa Safety Induction na wala hakusoma vibao vya tahadhari njiani unapokaribia kuingia TARIME. Anyway Nampa pole sana.
 
Huyu Mkenya amestahili kupigwa yaani utoke Kenya eti unakuja kumchukua Mwanamke akiwa kwa mpenzie tena akiwa Tanzania! (Wakurya huwa tunasema hii ni dharau iliyopittiliza yaani utoke Kwenu uje unipige Nyumbani kwetu!) Khaaaa! haiwezekani Mura!
 
Mkwepa Kodi,

Labda mimi na wewe tupo tofauti na wanaume wengine.

Mwanamke kama huyo, nikishajua yupo hai na ana mwanaume mwingine, siwezi kusumbua nafsi yangu kumtafuta.
Yani nakubaliana na wewe asilimia zote mkuu, wanawake wamejaa kibao ya nini kuanza kugombaniana mwanamke aliekubali kuishi na mwanaume mwingine, kwa kweli watu tunatofautiana.
 
Back
Top Bottom