Police na Njama kuzuia maandamano makubwa kesho

Kwa kutambaa na tumbo,kwa kutembea kwa mguu,kwa mwendo wa mbwa hakika cdm kesho watawapokea wabunge mashujaa.bodaboda kuzikamata ni upuuzi tu.watu walipiga mguu toka mahakama kuu mpaka kimara ofisi ya jimbo la ubungo siku ya ushindi wa kesi ya kamanda mnyika,leo wanatumia mbinu dhaifu ya kukamata bodaboda.no sense
 
Mkuu unanihukumuje eti mi ni upande fulani! Niliwahi kukuambia au ulinipa kadi no ngapi? Any way,hayo maandamano ya kupinga kutumiwa na ccm,ni kina nani wanaotumiwa na ccm?

Wewe haswa kachukue posho sasa
 
Mmekwisha kabidhiwa hati yenu ya maandamano???? Wangapi kesho wataangukiwa na kitu chenye ncha kali???? "KAMA WAO WANAJIFUNZA KUUA, NINYI JIFUNZENI KUFA" Kumbukeni, watoto wao watakuwa wanawaangalia kwenye runinga, wakiwa nje ya nchi.
 
Natamani nione utumbo wa mtu kesho ukininginia kova Uaa wote panya wanaokaidi sacoos wachochezi wakubwa
 
Kwa anaejua naomba anijuze ni Temeke gani utakapofanyika huo mkutano maana Tmk ni kubwa..
 
Mkuu unanihukumuje eti mi ni upande fulani! Niliwahi kukuambia au ulinipa kadi no ngapi? Any way,hayo maandamano ya kupinga kutumiwa na ccm,ni kina nani wanaotumiwa na ccm?

Hujui hata kinachoendelea na kuparamia mambo bora uwe kimwa tu
 
Speaker na Naibu wake.
Mkutano wa Bunge sio wa CCM
Over

sasa spika si wa ccm kwanini wasimtumie.
Hata marekani hao republican wanacontrol congress kuna kipindi huwa wanaweka ngumu hadi obama anawambembeleza itakua cdm wanaotaka kulazimisha mambo yao ndani ya bunge wakati hawafika hata robo ya wabunge wote.
 
Natamani nione utumbo wa mtu kesho ukininginia kova Uaa wote panya wanaokaidi sacoos wachochezi wakubwa

A%20S-devil1.gif
 
Back
Top Bottom