gost
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 275
- 135
Nipo maeneo ya quality centre msafara mkubwa wa pikipiki na bajaji na escort mbele na nyuma huku wakipiga makelele na honi wakieleke police post ina semekana ni piki piki za tazara mpaka temeke zakamatwa ili kupunguza maandamano ya kesho . Hakuna kulala mpaka kieleweke hata kwa migu tutakuja na tutajaa