Police na Njama kuzuia maandamano makubwa kesho

Nipo maeneo ya quality centre msafara mkubwa wa pikipiki na bajaji na escort mbele na nyuma huku wakipiga makelele na honi wakieleke police post ina semekana ni piki piki za tazara mpaka temeke zakamatwa ili kupunguza maandamano ya kesho . Hakuna kulala mpaka kieleweke hata kwa migu tutakuja na tutajaa
usisahau chupa ya maji na uchunge vitu vyenye ncha kali
 
policcm hatuwaogopi hii nchi ni yetu, na lazima tuilinde na kutetea maslahi yetu.
wakitaka kujua nguvu yetu wazuie waone.
:bowl:HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE:target:

MAKUU!

Tukiwakomalia hawa POLICCM watanywea kabisa. jamaa ni waoga kama fisi. Si umeona kule Mtwara na Masasi jinsi wanavyo kimbia majukumu yao! Nilikuwa kule siku chache zilizo pita. Jamaa ukiwaona wanatembea si chini ya askari 5 huku wakiwa hawajiamini kabisa.

dawa ya moto ni moto. Tukiwakomalia wata-ufyata tu! Kesho "KAMA MMBWAI NMBWAI TU". Lazima tukomae kama Masasi.
 
Nadhani matembezi ya mshikamano yatafanikiwa Kesho.kazeni buti wanachadema na nccr hadi kieleweke.
 
Back
Top Bottom