Unakumbuka tuliwahi kukutana Russia 2017 ulipokuwa unafuatilia maisha ya Dr. Shika? Naona sasa umeamua kuwafuatilia Polepole na Mafwele & co😂Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
AiseeAisee
Wameblow your cover
Kamata Rucksack sasa hivi weka Jeans tatu, tshirt mbili nan shati moja, anza sasa hivi ohoooooo
Nakuambia elekea boda unayoijua, tafadhali sana...
Arif...anza sasa hivi....
View attachment 3484663
🤣🤣🤣🤣🤣Hayupo Mabwepande kalishwa matango pori.
Tuliowengi humu ni wale tusiokuwa na lolote la kufanya zaidi ya kusoma kilichoandikwa na watu kama nyie na ku comment tu ili kupunguza machungu moyoniHadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Kwani Polepole alikwisharudi nchini? Nyie watu mna episodes za ajabu sana.Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Kwenye hiyo picha polepole anaonekana ndano ya gari?Mange kasema wame mpeleka kigamboni uko wewe mwebepande sawa yule kaleta kabisa na picha ya gari walilo mteka mpaka na kikundi chake tuletee na kaushaid wa picha sio manenk tu haya toshi
Hichi ndo kitu hata mm najiuliza mkuu, yaan wapo kwenye hvyo vyombo vya ulinzi na usalama, wanashindwa nao kutumia nguvu kama wanazotumia hao watenda maovu.Tuliowengi humu ni wale tusiokuwa na lolote la kufanya zaidi ya kusoma kilichoandikwa na watu kama nyie na ku comment tu ili kupunguza machungu moyoni
Kama kweli nyie watu mna watu huko jikoni, kwenye vyanzo vyovyote, wenye nguvu na mnachukizwa na haya yanayoendelea, kwanini na nyie msiunde task force yenu?
Kwa mfano, mnajua kabisa Polepole yuko Mbweni kituo fulani wanapanga kumuhamisha kwenda sehemu fulani, inahitaji nini kuvamia hicho kituo na kumuokoa huyo muhanga? Kama mnajua kitua alichopo naamini hata idadi ya polisi walioko kwenye hicho kituo mnaijua na siraha walizonazo zinajulikana.
Kwani tunayoyaona kwenye movie si yanawezekana kufanyika katika uhalisia?
Watekaji (Polisi?) ni binadamu kama nyie, mbinu hizo hizo wanazotumia kuvamia na kuteka watu na kuondoka nao bila kukamatwa bila kuonekana ndio hizo hizo zitumike kuokoa waliotekwa kama kweli hizi taarifa mnazotoa ni za kweli kuliko kubaki kusema kuna hiki, kitu fulani kiko hivi bila kufanyika chochote cha kuokoa uhai wa mtu aliyeko matatizoni
Nchi imejaa ma key board warriors tu hii. Ukisoma JF unawaona wako kama Fidel Castro au Che Guevara. Ila kwa ground ni wangese tu kama uncle T au James Delicious.Kweli wamekosana wazalendo wenye silaha wakavamia hilo eneo na kumuokoa, usalama wataifa wazalendo, Jwtz wazalendo, baadhi ya wazalendo katika jeshi la polisi, hata wananchi wazalendo wanaomiliki silaha.
Kweli tunapoteza tunu hii ya mzalendo polepole na kuwapa ushindi wahuni?😢😢, moyo wangu umehisi kulaluliwa leo💔.
Kama ningekuwa kwenye chombo chochote cha ulinzi na usalama, hakika ngekuwa mtu wa kwanza kuchukua vijana wazalendo na kuingia kumuokoa uyu mtu. britanicca, tunaenda kumpoteza mzalendo na mwenye uchungu wa watanzania uku tukitazama. Sijui kama naweza kulala leo. Daaah 😢😢😢
Nimesikitika sana, na nimefika hadi asubhi sijalala toka jana.Nchi imejaa ma key board warriors tu hii. Ukisoma JF unawaona wako kama Fidel Castro au Che Guevara. Ila kwa ground ni wangese tu kama uncle T au James Delicious.
Tulipofikia hakuna hata haja ya kupeana hizo taarifa maana hazina msaada wowoteKweli wamekosana wazalendo wenye silaha wakavamia hilo eneo na kumuokoa, usalama wataifa wazalendo, Jwtz wazalendo, baadhi ya wazalendo katika jeshi la polisi, hata wananchi wazalendo wanaomiliki silaha.
Kweli tunapoteza tunu hii ya mzalendo polepole na kuwapa ushindi wahuni?[emoji22][emoji22], moyo wangu umehisi kulaluliwa leo[emoji174].
Kama ningekuwa kwenye chombo chochote cha ulinzi na usalama, hakika ngekuwa mtu wa kwanza kuchukua vijana wazalendo na kuingia kumuokoa uyu mtu. britanicca, tunaenda kumpoteza mzalendo na mwenye uchungu wa watanzania uku tukitazama. Sijui kama naweza kulala leo. Daaah [emoji22][emoji22][emoji22]
Hivi ni hela tu ambazo taysri wanazo au ni nnHadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Toka jana kapotezwa mabarabara yangekua yamejaa maandamano. Ila kuko kimyaaa endeleeni kujidanganya
Bora wewe unafanya jambo kuliko sisiKama kawaida mtaishia kutoa vitisho mitandaoni. Baada ya wiki anatekwa na kuuawa mwingine mnaibuka tena!! Sawa ngoja tuone.
Umesikia maelezo ya wajeda?JWTZ ingilieni kati jaman…kutusubiri sisi hadi 29 Oct ni mbali kwani wazalendo wengi wanapotezwa sasa.
shujaa, mzalendo na kijana mwenye maono na nia njema kwa watanzania ndugu POLEPOLE wanaenda mpeleka kaburini. Kweli nafsi zenu zitabaki na amani ikiwa mlikuwa na nafasi hii ya kuokoa roho yake. Mlishindwa kwa JPM, hata kwa Polepole inashindikana na watu waliye naye wanajulikana.
Najuta kwanini nilikataa ile OFA ya kuingia jeshini, na uhakika by now ngekuwa kwenye rank za juu na ningeweza fanya kitu.
Kweli kabisa jmnTuliowengi humu ni wale tusiokuwa na lolote la kufanya zaidi ya kusoma kilichoandikwa na watu kama nyie na ku comment tu ili kupunguza machungu moyoni
Kama kweli nyie watu mna watu huko jikoni, kwenye vyanzo vyovyote, wenye nguvu na mnachukizwa na haya yanayoendelea, kwanini na nyie msiunde task force yenu?
Kwa mfano, mnajua kabisa Polepole yuko Mbweni kituo fulani wanapanga kumuhamisha kwenda sehemu fulani, inahitaji nini kuvamia hicho kituo na kumuokoa huyo muhanga? Kama mnajua kitua alichopo naamini hata idadi ya polisi walioko kwenye hicho kituo mnaijua na siraha walizonazo zinajulikana.
Kwani tunayoyaona kwenye movie si yanawezekana kufanyika katika uhalisia?
Watekaji (Polisi?) ni binadamu kama nyie, mbinu hizo hizo wanazotumia kuvamia na kuteka watu na kuondoka nao bila kukamatwa bila kuonekana ndio hizo hizo zitumike kuokoa waliotekwa kama kweli hizi taarifa mnazotoa ni za kweli kuliko kubaki kusema kuna hiki, kitu fulani kiko hivi bila kufanyika chochote cha kuokoa uhai wa mtu aliyeko matatizoni
Hivi kutoka kigamboni hadi mbweni Kwa gari za serikali inachukua dakika ngapi? Binafsi Nina amini taarifa zote zinaweza kua sahihi maana hawawezi kukaa nae sehemu Moja Kwa muda mrefuMange kasema wame mpeleka kigamboni uko wewe mwebepande sawa yule kaleta kabisa na picha ya gari walilo mteka mpaka na kikundi chake tuletee na kaushaid wa picha sio manenk tu haya toshi