Pole pole HAJATEKWA na wala hawezi kutekwa kindezi ndezi, yule jamaa ni next level. Believe me kunabom linasukwa, shitukeni msiwe na akili za kike za kuamini kila mchungaji ni mtumishi wa bwanaMungu amtunze huko aliko
Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Achana nako hako ka Askari mchwara kalinda sokoni mbagalaWe unaonaje?
Kwanza jiulize kabla ya kuamini hivi polepole kama polepole anaweza kuwa katekwa vile kama ambavyo taarifa zinaeleza? Na je yule ni kaka kweli wa pole pole na polepole na chip wapi na wapi?Mbona siku nzima hajajitokeza kukanusha?
Huyu dogo ana element za uchok.oYani wewe ni mjinga
Mange anatupelekaje maboya anatoa na ushahidi wao mbona hawatoi ushahidiHaijalisha Mange ni mtu wa aina gani, taarifa ni taarifa. Hata kama ni Mange anatupeleka maboya bado taarifa yake inaweza kutumika kama ~true (not true) value, katika mchakato wa kutengeneza truth table yetu.
Yani Watanzania akili zenu mnazijua wenyewe, Haya Polepole yupo Mbweni basi twendeni kesho Mbweni.Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Acha longonlongo. Kama kweli mnaweza fanya kweli ili matendo yaseme kama wao wanavyoongea kwa matendo. By the way, Daudi Bashite hayumo na shogaa yake Abduli?Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality.
Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii
Watajuta
Kuanzia Mafwele, IGP na Muhuni Samia
Britanicca
Mkuu huoni mlango umevunjwa? Huoni damu, huoni vile vitu vilivyomo juzi hapa Instagram kuna jamaa alidai polepole Yuko Moshi kuna eneo alilitaja tukapuuzia Leo kikowapiKwanza jiulize kabla ya kuamini hivi polepole kama polepole anaweza kuwa katekwa vile kama ambavyo taarifa zinaeleza? Na je yule ni kaka kweli wa pole pole na polepole na chip wapi na wapi?
Nendeni..Kwa hiyo tukivamia mabwepande tunaweza kumtoa?
Kwahiyo unasema familia yake inadanganya. Kaka zake wamethibitisha kwenye interview na BBC na wamekwenda kuripoti polisi.Pole pole HAJATEKWA na wala hawezi kutekwa kindezi ndezi, yule jamaa ni next level. Believe me kunabom linasukwa, shitukeni msiwe na akili za kike za kuamini kila mchungaji ni mtumishi wa bwana
Unauhakika gani alikuwa akiishi pale?Mkuu huoni mlango umevunjwa? Huoni damu, huoni vile vitu vilivyomo juzi hapa Instagram kuna jamaa alidai polepole Yuko Moshi kuna eneo alilitaja tukapuuzia Leo kikowapi
Fullstop kwishaaa
Pita tuu unazinguaHujapata ata ka picha maana mange kaleta na kaushaid wa gari walilo tumia je wewe una tuletea nini hapa tuamini usemalo?
Tumeshatoka mabwepande pale hakuna kitu.Nendeni..
Watanganyika nani aliwaroga!?
Wa kupeleka moto wamejaa tele, wa kusambaratisha wahuni ndo mtihaniNchi nzima hakuna wanaume jamani
Mimi sipotoshi yeyote ila najaribu kukuamsha wewe uliyelala fanya kufatilia speech za Polepole zote sikiliza kwa makini jinsi alivyojizatiti kiulinzi mpaka mwenyewe anasema waziwazi kuwa yuko vizuri dont even try afu leo hii useme mtu huyo kushikwa kirahisi rahisi tu hakuna hata mtu aliyeuawa hapo kwenye tukio. hiyo ni Big NO, never. Polepole hawezi kutekwa kizembe namna hiyo. Huyo mdogo wake umemwona live au umesikia sauti tuKwahiyo unasema familia yake inadanganya. Kaka zake wamethibitisha kwenye interview na BBC na wamekwenda kuripoti polisi.
Vipi upo kazini kwenye payroll ya Abdul na Samia unajaribu kupotosha umma?
Smoke screen?Kwanza jiulize kabla ya kuamini hivi polepole kama polepole anaweza kuwa katekwa vile kama ambavyo taarifa zinaeleza? Na je yule ni kaka kweli wa pole pole na polepole na chip wapi na wapi?
Mkuu Kwa unavoidable muona polepole unazani ilikua rahis kumchukuaHivi ni kwa nini inatumika nguvu kubwa kiasi cha kumuumiza Pole Pole? Alikuwa na silaha? Kaumizwa kwenye purukushani ya kumkamata au corporal punishment ndio order inayotumika hata kama tuhuma zake ni za kisiasa? 🤔