Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Karudisha heshima ya Taifa letu kwa kufanya yepi!?
Kudharau katiba ya nchi, Bunge na sheria za nchi!? Kuwa na chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na wananchi na kauli za kufoka foka kila kukicha pia bomoa bomoa!?
Huo ni mtazamo wako na unachokikataa hapa ndicho unachokifanya kwa JPM, chuki binafsi.
 
pole pole ni mwongo nilikua Namibia hawamjui magufuri,Nchi za kusini raia wao wengi hawawajui maraisi Wa Nchi zingine kwa wale waliokwenda umri Waliopo Afrika kusini wanamjua Nyerere kuliko Tanzania..
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.

Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Anajifunzia kwetu?, he doesn't know how things work anadhani ni enzi za sokoine na chama kushika hatamu. Miaka 5 si punde inakata chukua 2010-2015 na 2015-2020 pima pamoja bila unafiki utaona anakotupeleka na tofauti iliyopo. Amejenga barabara km ngani zaidi? Amenunua bombadier jiulize kwa uwekezaji wa sh. ngapi? Ukilinganisha na jk aliyeamua kuwekeza kwenye viwanja kwanza alitumia sh. ngapi? Maana anajua how things work kwenye biashara ya ndege. Kazi ushabiki tu, eti wapiga dili?
 
fb_img_1504192389528-jpg.579136
 
Kuulizwa ulizwa si kigezo cha kwamba wanamkubali. Mbona hata Hitler alitikisa na kuulizwa duniani kote?
 
Pole pole sasa kama wanamuulizia wewe ulimwacha wa nini si ungeenda nae?
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Simwamini tena huyu mtu kutoka nafsini!
 
Kwa akili yako finyu kumkosoa huyo dikteta uchwara ni chuki binafsi. Na kwa taarifa yako si mtazamo wangu bali wa Watanzania wengi sana.



Huo ni mtazamo wako na unachokikataa hapa ndicho unachokifanya kwa JPM, chuki binafsi.
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.

Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hahaha hahahah
 
Utakuwa huvijui vifungu vya katiba ambavyo vinaruhusu vyama vingi nchini na haki za vyama hivyo. Tafuta katiba uisome badala ya kutaka watu wakutafunie kila kitu.

Kuchukua hazina trillions za shilingi kama anachota mfukoni kwake ni kulidharau Bunge, kamata kamata ya Wabunge wa upinzani na kuwanyina uhuru wa kufanya yao ndani ya Bunge ni kulidharau Bunge.

Maendeleo yapatikane kwa haki na siyo kwa dhuluma ya kuwavunjia watu nyumba zao bila ya kuwalipa fidia wanayostahili.

Tia akili kichwani na tafakari kwa kina,

Mkuu linapikuja swala la raid kuvunja au kudharau katiba Mara kadhaa nimekuwa nawaliza wadau wanaodai hivyo,watutajie hicho au hivyo vifungu ambavyo raid amevivunja au kuvidharau ,lakini kwa bahati mbaya mpaka Leo hakuna mlalamikaji aliyetaja hicho kifungu cha katiba.

Kihusu bomoabomoa,maendeleo yo yote kwa jamii huja na asara na faida zake huwezi kupata vyote ,yaani faida na hasara,ukipitiwa na mradi Wa maendeleo katika eneo lako,kutakuwabna kilio cha kubomolewa,ila baada ya mradi kukamilika utashangilia.
Kuhusu binge sijawahi Kuona raid ameingilia mamlaka ya bunge.
 
Huo mkutano unahusu mambo ya Palestinia na Western Sahara na si mkutano wa vyama vya siasa nashangaa Polepole anahudhuria kama nani. Pili tayari Mfalme wa Morocco anatujengea kiwanja cha mpira na msikiti je tunauwezo wa kumwambia aondoke Sahara Magharibi
Mkuu nmeona pia ikabidi nkae kimya nimegundua kwann ccm hawapendi watu wawe wasomi.
Vuta picha akatokea mtu wao akasambaza hii sumu kwa wazee wasiojua shule eeehh wataona ccm dumeeee.
Lakin nyie wasomi hamtakiwi kabisa ona kama hii habar mmeshaichambua kuwa mkutano si wa kichama.
Elimu Elimu Elimu
 
Back
Top Bottom