Ni kweli sisi ndo waamuzi wa 2020...Tusilewe na sifa za wanamibia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Polepole yupo kenya kujaribu kumaliza kazi iliyomshinda bashite. Kama kazi za ccm, mwenezi siyo wajibu wake kuwakilisha chamaView attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.
Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?
Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.
Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Kwakua anaiongoza nje.Nabii hatukuzwi kwao aisee Kwa simple research niliyoifanya JPM Anakubalika sana huko nje