Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,770
Ni kwa sababu huko nje hawajawahi kusikia wala kuelewa kuwa huyo mtu wanayemhusudu,insemwa kuwa alisoma PhD part time kwa miaka mitatu wakati mtaala ni wa miaka mitano hivyo kuukwaa Udokta kiulaini!!!Nabii hatukuzwi kwao aisee Kwa simple research niliyoifanya JPM Anakubalika sana huko nje
Pia hawajawahi kusikia kuwa huyo mtu anawabomolea wananchi wake maskini vibanda vyao walivyojenga kwa fedha kiduchu za mafao ya kustaafu kwa kutumia sheria zisizokuwepo!!!
Halafu hawajui kuwa huyo mtu kwa kukurupuka anaingiza nchi katika madeni, hivyo kuleta hatari ya kukamatwa mali za nchi kila kona ya Ulimwengu!!!
Ni ombi langu kwa mkuu wa Propaganda wa chama chetu uwaeleze na hayo niliyokukumbusha halafu utuletee mrejesho.