Awashauri wamchukue, watakapokosa sukari wasimrudishe huku.View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.
Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?
Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.
Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
nadhani yeye ndiye bingwa wa taarabu kwa sasaMagufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote. Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko nje wapi?.Nabii hatukuzwi kwao aisee Kwa simple research niliyoifanya JPM Anakubalika sana huko nje
Just opened gates of logics to help you solve the equation.Mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe!
Naunga mkono hoja.Wamchukue basi awe raisi wao
Kamekufanya nini mkuuUsilolijua ni kama usiku wa giza
Hata mimi kuna kabinti Nilikuwa nakazimia sana kwa muonekano wake, but baada ya kukajua kiundani natamani hata ningekuwa sijawahi kukaona......
Hope umenielewa mkuu
President challenges conference to interrogate Palestine, Western Sahara occupation - NBC
SWAPO party lead determination to end illegal occupation of Western Sahara and urged socialist and democratic parties in Africa should put pressure on Morocco to end occupation of Western Sahara. CCM party from Tanzania is represented by its publicity secretary Mr. Humphrey Polepole
Source: Namibia Broadcasting Corporation
Huo mkutano unahusu mambo ya Palestinia na Western Sahara na si mkutano wa vyama vya siasa nashangaa Polepole anahudhuria kama nani. Pili tayari Mfalme wa Morocco anatujengea kiwanja cha mpira na msikiti je tunauwezo wa kumwambia aondoke Sahara Magharibi