Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
mi Niko marekani kila MTU anamsubiri mwasheria Nguli Tundu Antipas Lissu kwa Hamu na shauku kubwa
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana

Magufuli ni jembe na ndiye anayetufaa, si wale vinyago kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
 
Hivi Polepole uanachama wa chama kikongwe ameanza lini?
 
Mimi sioni cha maana cha kumsifia huyu magufuli na hao wanaomsifia huko Namibia nafikiri ni wale watu jamii ya twaweza wapumbavu kabisa
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Hamna kitu kizuri kama hekima,ila kiongozi wetu hekima czani kama anaijua ndo mana asilimia kubwa watu wanalalamikia huu uongozi,kama hao wanamibia wanamtaka wampe uraia na uraic alaf watatupa majibu baada ya apo.
 
Wabongo bwana Ukimuuliza Magufuli amefanya kipi kibaya atabaki anaongea hadithi za kufikirika

Tufanye kazi,sisi tuliokuwa tangu mwanzo wa dahari tunafnya kazi na kulipa kodi halali hatujaona kilichobadilika ila wale waliokuwa wana njia zao wanazozijua wao WANAONGEA sana

Fanya kazi mwanaume toka jasho utimie malengo yko
PAMBANA NA HALI YAKO
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Mku kwani Madhila wanayoyapata Watanzania kuna Mnamibia anayejua.
Huyu jamaa nahisi Bado sana sasa hii ndo nini na ina faida gani kwa nchi yetu kinaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na
Mimi sioni cha maana cha kumsifia huyu magufuli na hao wanaomsifia huko Namibia nafikiri ni wale watu jamii ya twaweza wapumbavu kabisa

hautokuja kukiona mpaka utakapoamua kutoa jasho lako ili kujitengezea kipato
Bado hujachelewa

Jumuika na sisi tupige kazi bro,tutachokipata kiwe cha kwetu na cha halali
Njia zote za kufanikiwa ni ndefu na zina vikwazo vyingi

Hakuna njia fupi ambayo ina lami njoo tuumize miili na akili ili tupate cha kwetu cha halali kaka
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.

Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena kwa hekima na busara ndugu, penye miti hapana wajenzi.
 
Ama kwa hakika awamu hii ni ya kipekee kabisa.
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.

Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani ungekuwa unalipa kodi ndio uje kutoa maoni...'mdogo, eti'?
 
Karudisha heshima ya Taifa letu kwa kufanya yepi!?
Kudharau katiba ya nchi, Bunge na sheria za nchi!? Kuwa na chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na wananchi na kauli za kufoka foka kila kukicha pia bomoa bomoa!?
Mkuu linapikuja swala la raid kuvunja au kudharau katiba Mara kadhaa nimekuwa nawaliza wadau wanaodai hivyo,watutajie hicho au hivyo vifungu ambavyo raid amevivunja au kuvidharau ,lakini kwa bahati mbaya mpaka Leo hakuna mlalamikaji aliyetaja hicho kifungu cha katiba.

Kihusu bomoabomoa,maendeleo yo yote kwa jamii huja na asara na faida zake huwezi kupata vyote ,yaani faida na hasara,ukipitiwa na mradi Wa maendeleo katika eneo lako,kutakuwabna kilio cha kubomolewa,ila baada ya mradi kukamilika utashangilia.
Kuhusu binge sijawahi Kuona raid ameingilia mamlaka ya bunge.
 
Nabii hatukuzwi kwao aisee Kwa simple research niliyoifanya JPM Anakubalika sana huko nje
Ni sawa na mwanamke aliyeolewa mrembo sana. Anaweza kutetemesha mtaa kwa makalio yake na urembo lakini mwenye mke hana hamu naye kwani ndani ya Nyumba ni mchafu, hajui kupika wala kulea watoto na pia ni kikojozi
 
Yaan mtu aache kumuulizia uhuru kwa kukubali kurudia uchaguz

shushushu VIP
 
Back
Top Bottom