Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,689
image.jpeg

Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.

Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni rahisi kusifia rangi ya nyoka kama hajakuuma, tunaojua maumivu ya mtu wenu mnayempamba kila uchao wala siyo mafisadi maana wengi nawajua na wanaendelea na maisha ya anasa tena wakiwa ndani ya CCM, lakini tunaoumia ni sisi nyasi (Watanzania wa hali ya chini) tunaokosa dawa hospitali huku mkinunua ndege za maonyesho, tusiopandishiwa mishahara kwa miaka 3 huku mkihubiri kuondoa mishahara hewa na watumishi hewa ambao hatuoni impact yake.

Tunaoumia ni sisi ambao watoto wetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu na kuishia kulandalanda mitaani tukiomba misaada ya wasamaria, tunaoumia ni sisi tuliosoma kwa mikopo wakati wa JK tukiahidiwa makato madogo tutakapopata ajira lakini Leo kwa tunakatwa asilimia 15 kwa ubabe hadi take home inabaki 48,000/- kinyume cha kanuni za utumishi. Msitake tuongee mengi jamani, ni maumivu kila mahali!!

ACHA nikae KIMYA...!
 
Huu mkutano maalum wa kuchagiza mbinyo zaidi wa kimataifa kwa nchi ya Morocco kujiondoa katika uvamizi wa kimabavu wa nchi ya Sahara ya Magharibi ili taifa hilo la mwisho la Afrika kuweza kupata uhuru na liweze kujitawala lenyewe bila minyororo ya kikoloni ya Morocco. Ndugu H. Polepole anaonekana katika video clip ya mkutano wa vyama vya kishoshaliti kuchagiza uhuru na mamlaka ya kujitawala zenyewe mataifa ya Sahara ya Magharibi na Palestine.

Tumulize Ndugu Humphrey Polepole msimamo wa serikali inayoongozwa na CCM juu ya kuunga mkono nchi ya Sahara ya Magharibi ipate uhuru wake toka Morocco upo vipi? Maana Tanzania ilikuwa mstari wa mbele mataifa ya Kiafrika kupata uhuru kamili. Na mwisho CCM inakubaliana na wazo la mkutano huu wa vyma vya kishoshalisti unaofanyika Nambia kuwa Morocco ikishindwa kujitoa Sahara ya Mgharibi ifukuzwe uanachama wa Umoja wa AfriKa (AU/ Africa Union)

President challenges conference to interrogate Palestine, Western Sahara occupation - NBC
SWAPO party lead determination to end illegal occupation of Western Sahara and urged socialist and democratic parties in Africa should put pressure on Morocco to end occupation of Western Sahara. CCM party from Tanzania is represented by it's publicity secretary Mr. Humphrey Polepole

Source: Namibia Broadcasting Corporation
 
Karudisha heshima ya Taifa letu kwa kufanya yepi!?
Kudharau katiba ya nchi, Bunge na sheria za nchi!? Kuwa na chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na wananchi na kauli za kufoka foka kila kukicha pia bomoa bomoa!?

View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote. Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hata la saba umemaliza kweli?
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Yupo sawa ni kama vile yule mharibifu tunapomuita mpambanaji ndio hulka ya wabongo kujitoa ufahamu na kusifia upuuzi!
 
Back
Top Bottom