Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Anatakiwa aseme anaulizwa kwa lipi mana wasijekuwa wanauliza wanataka kujua kwa nini pangaboy limekamatwa alafu tumekaa kimya bila kuhoji Magufuli kwa nini anatutia hasara kama taifa alafu tupo kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia nzima pia inawazungumzia Trump, Duterte, Kagame na hata Nkurunzinza...wote madikteta vilaza!
 
6512a07420644e8a848cea2a1962318a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonesha kila dalili kuwa Awamu za nyuma ulikuwa hulipi kodi
Sis sote waTZ kwaiyo nyny wkt sis tunalipa ndo mlikuwa munatucheka xn
PAMBANA NA HALI YAKO
Afadhali angalau umefahamu kuwa nilikuwepo hizo awamu za nyuma, kwa hiyo mimi sio mtoto mwenzio. Nimeanza kulipa kodi mwaka 2001 baada ya kuajiriwa mara ya kwanza, back then nilikuwa nakatwa shilingi 87,000 kwa mwezi, hiyo ni P.A.Y.E achilia mbali VAT kila naponunua bidhaa. Kwa sasa, 371,000 zinakatwa kwenye mshahara wangu kila mwezi na shilingi 40 kila naponunua lita moja ya diesel.

Lengo la kukueleza yote haya mama ni kukuweka tu sawa kuwa concern yangu haikuwa kulipa kodi bali namna kodi yangu inavyotumika. Next time ukiongea na mimi, anza na shikamoo...mi sio umri wa kuandika xaxa
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
POLEPOLE: Ninakuheshimu lakini umenivunja moyo yakuamini kuwa tokea ulipopchikwa cheo ndani ya CCM akili zako za kupima na kutafakari zinasinyaa kwa mwendo kasi.

Ni sawa a kumuulizamtu kuwa eti Pemba kuna mkarafuu? POLEPOLE unanikumbusha ilipofunguliwa Hoteli ya Bwawani Zanzibar , mtangazaji wa Sauti ya Zanzibar kumuuliza " Diplomat" mmoja wa Marekani vipi anaiona Hoteli ya Bwawani na alijibu. Ningeliyamani Hoteli ingelikuwa imejengwa kuleManhattan kwa uzuri wake.

Sawa jibu lilukuwa zuri na kufurahisha lakini liojaa KEBEHI.Hili ndio aliokuwa anasikia Polpole Namibia Ni JIBU ALIOTAKA KUSIKIA na SIO UHALISIA.
 
Eti safari za nje zimezuiliwa lakini still hata hizo chache zinazopatikana wanapelekwa watu ambao mawazo yao ni 'teaspoon' ukilinganisha na 'ndoo'! Tuna safari ndefu sana kufika hata nusu ya tuendako.
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Wanamibia hawajaulizia kupotea kwa bensaa 8,na kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.

Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Adhabu ya kaburi aijuaye maiti..... Wangeishi hapa Tanzania wasingekuwa na mawazo hayo. Halafu hii 'kila mtu' ina maana gani? Angesema watu niokutana nao (Waliomualika) wanaulizia habari za Magu ila sio kila mtu.

"A voice of one calling in the wildernes"
 
Back
Top Bottom