Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.

Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hapa Tanzania alipogombea alishinda, sioni ajabu akigombea nchi nyingine akashinda...ila mziki wataujua baada ya kukaa nae.

Haina tofauti na kukosea kuoa mke, akiwa ndani ndo utajua kumbe dunia inazunguka.
 
Economically tangu jpm aingie madarakani I'm dwindled lakini what he does ni future ya wanangu na wajukuu zangu. Cc wapgaji ndo tunamchukia ila a man has good vision.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vision ya kusigina katiba. Kwanza ukisigina katiba maana yake huna vision maana katiba somehow ni kama vision ya taifa.
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Umenena vyema lakini itachukua muda baadhi ya watu kukuelewa na hata wakikuelewa kazi ipo kukukubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote.

Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walio na taarabu za majukwaani ni akina nani?
Je ni wanachama wa chama kipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni rahisi kusifia rangi ya nyoka kama hajakuuma, tunaojua maumivu ya mtu wenu mnayempamba kila uchao wala siyo mafisadi maana wengi nawajua na wanaendelea na maisha ya anasa tena wakiwa ndani ya CCM, lakini tunaoumia ni sisi nyasi (Watanzania wa hali ya chini) tunaokosa dawa hospitali huku mkinunua ndege za maonyesho, tusiopandishiwa mishahara kwa miaka 3 huku mkihubiri kuondoa mishahara hewa na watumishi hewa ambao hatuoni impact yake.

Tunaoumia ni sisi ambao watoto wetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu na kuishia kulandalanda mitaani tukiomba misaada ya wasamaria, tunaoumia ni sisi tuliosoma kwa mikopo wakati wa JK tukiahidiwa makato madogo tutakapopata ajira lakini Leo kwa tunakatwa asilimia 15 kwa ubabe hadi take home inabaki 48,000/- kinyume cha kanuni za utumishi. Msitake tuongee mengi jamani, ni maumivu kila mahali!!

ACHA nikae KIMYA...!
INAUMIZA SANA!
NA HILI LA MIKOPO NALO HILI!
 
Unajua " kuisoma namba"?

Kweli tunasomeshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karudisha heshima ya Taifa letu kwa kufanya yepi!?
Kudharau katiba ya nchi, Bunge na sheria za nchi!? Kuwa na chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na wananchi na kauli za kufoka foka kila kukicha pia bomoa bomoa!?
Habari ni kwamba yupo Namibia halafu hajui anawakilisha nani/nini huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa kuanzia ubaguzi na chuki vitu ambavyo vilikuwa vimebaki historia ktk nchi yetu
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Umenena vema mkuu. Marais wengine waliomtangulia waliipotezea sifa nchi hii. Mbona hata Mwinyi alikiri hili?

JPM anarudisha heshima ya nchi hii.
Anachosema Polepole ni kweli kabisa. Nilienda South Africa pia kwenye meeting ambayo washiriki walitoka mataifa mbalimbali ya Africa. Unapojitambulisha unatoka Tanzania wengi wanapenda kumzungumzia Magufuli. Wengi huomba tubadilishane watupe Rais wao na kwamba tuwaazime Magufuli japo kwa mwaka mmoja.
This is very true! Kwa wote wanaotoka nje ya nchi watakwambia.
 
Zamani tulikuwa tunadanganywa hivyo hivyo kuwa Tanzania niya pili kwa upelelezi duaniani...sasa tena polepole anatuaambia kila akikutana na mtu huko Namibia anamuulizia habari za Magufuli...angesema wanamuulizia Samatta ningeamini kwamba huenda sehemu alizotembelea amekuta na vijana wengi washabiki wa mpira....wanauliza hbr za star mbongo.
 
Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.
kuna tatizo gani kwa chama hicho hicho kurudisha heshima yake?
 
Huyo Polepole nae ana mambo
Magu anajua kwa kiasi gani hakubaliki kwa sasa ndio maana ameanza kufanya mikakati ya 2020 kwa kubadili vifungu vya katiba kwa siri
 
Basi akagombee Namibia,wahamie huko huku hatuwataki
 
kuna mtu aliandika kwamba, Makufuli aongezewe ulinzi,sasa tunajiuliza ni kwa nini au wanaomchukia wamezidi kuwa wengi?
 
Back
Top Bottom