laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,983
- 9,760
punguza hasira mkuuNinauhakika magufol angekuwa rais wa nchi nyingine raia wangekuwa washaandamana na kumn'goa madarakani ..koz ni rais wa hovyo,mihemko,hasira,visasi na hana busara na hekima kama raisi.hafai na hastahili kamwe kuwa rais hata wa kata..narudia kuwa hafaii...Ni mtu wa hovyo kabisa...
akiongea anarusha rusha mikono kma anapiga mbizi....