Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Wafanye amendment ya katiba yao wamchukue tu!
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote. Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie akagombee Somalia akutane na Alshababu aone kama wanatakaga maujinga anayowafanyia wafanyabiashara hapa.
 
Nabii hatukuzwi kwao aisee Kwa simple research niliyoifanya JPM Anakubalika sana huko nje
Sasa huko nje hawazijui ngonjera za Magufuli...jamaa Ni msanii sana na asilimia kubwa ya watz tushamjua sana tu...
Kma ni mtu anaejiamini kwann hajiamini??
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote. Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwasababu matatizo yake hizo nchi nyingine haziwagusi. Unaweza kumuita mtu ana mke watu wote makes mnamsifia mke mzuri mkarimu mcheshi nk lakini siri ya uzuri anaijua kwenye mke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karudisha heshima ya Taifa letu kwa kufanya yepi!?
Kudharau katiba ya nchi, Bunge na sheria za nchi!? Kuwa na chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na wananchi na kauli za kufoka foka kila kukicha pia bomoa bomoa!?
Wewe wasema!
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Namkubaki sana JPM ila akitaka akubalke zaidi arudishe swala la Katiba mpya tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 581718
Hii ni twitter ya "propagandist" wa CCM,anasema huko Namibia kila akipita watu wanamuulizia JPM,JPM yaani kila kona ni Magufuli tu.

Polepole anasema Magufuli karudisha heshima ya Taifa letu,sasa sijui anataka kusema hii heshima inayorudishwa na JPM ilipotezwa na kina nani?

Kwa watu wa "logic" watakubaliana kuwa Polepole anamaanisha Ma-Rais wengine waliotangulia kuanzia Mwinyi mpaka Jakaya waliipoteza heshima ya nchi hii,sasa huyu aliyepo anajitahidi kurudisha pale tulipovuliwa nguo kimataifa kama Taifa.

Anasahau kuwa hao waliopoteza heshima ya Taifa ni wa chama hichohicho ambacho amekuwa anasema kimeliletea Taifa heshima kwa miaka 50 toka Uhuru.Hawa wanasiasa huwa wanajichanganya sana
Binafsi naona kama anakua haeleweki,
Sisemi Magu ni Mbaya, ila pia Sina uhakika sana kama kila kilicho maarufu na kinauliziwa uliziwa ni kizuri.
 
Ninauhakika magufol angekuwa rais wa nchi nyingine raia wangekuwa washaandamana na kumn'goa madarakani ..koz ni rais wa hovyo,mihemko,hasira,visasi na hana busara na hekima kama raisi.hafai na hastahili kamwe kuwa rais hata wa kata..narudia kuwa hafaii...Ni mtu wa hovyo kabisa...
akiongea anarusha rusha mikono kma anapiga mbizi....
 
Hiyo 'Nchi' nyingine Labda Jamhuri ya Muungano wa Ufipa!
 
Back
Top Bottom