Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote. Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Miaka 20 kwenye siasa halafu unasema hajui siasa? Basi wewe na polepole mna matatizo sawa ya akili.
 
..kumuulizia mtu ndio kujenga heshima???..what an idiot eh!....Ina maana watu wanapomuulizia Donald trump wanaijengea heshima marekani???....ama kumuulizia Maduro ni kuijengea heshima Venezuela inayosambaratika?...this idiot is running out of propaganda to serve his boss....
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote. Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusigina katiba kwa makusudi mazma, ni udhaifu mdogo? pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli mnamdharau nyie tu ila katika africa akigombea urais kwa asilimia 50 ya nchi za africa atashinda kwa kishindo. Wenye dharau ni wale waliokatiwa mirija na nyumbu, tena baadhi sio wote. Udhaifu wa rais wangu ni mdogo sana na hauna madhara makubwa kwa vile bado anajifunza polepole kuwa mwanasiasa, hapo kale hakuijua siasa yeye ni mtu wa kazi tu habari za taarabu majukwaani hana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Demokrasia ndio nembo ya rais yeyote duniani. Hajafika hata robo ya uhuru. Lipi linakufanya umwamini jamaa hivyo? Au kufanya mambo kwa utashi wake binafsi ndio uone point?

Je Leo akaamua watz wote tuvae magauni utasemaje hapo? Jibu ni katiba. Alete mchongo wa katiba mezani wazee wafanye vitu kiprofessional Man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni mnafiki, anajifanya hajui kuwa waliopoteza heshima ya nchi ni pamoja na wale anaowaona kuwa ni wakombozi kina Lowassa na Sumaye.

......
 
Back
Top Bottom