Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,044
- 5,920
Umelichukua mambo kibinafsi, hujuma ya wanamtandao inafanywa dhidi ya Taifa, sio mtu binafsi.Yesu alisema kabla hujaenda kutubu lazima uombe msamaha uliemkosea na kama umechukua mali yake urudishe..!!
Sasa kama viongozi hawataki kurudisha mali walizokwapua za wananchi na bado wanatudidimiza kwanini wapewe msamaha?
Wewe ulitaka baada ya maumivu yote wanayotupatia waombe msamaha kisha basi tuwaache na kile walichotuibia??
Vv