Hadithi yako haieleweki. Itunge upya. Tunachotaka ni majibu ya hoja zake na siyo maswali Tena maswali yenyewe hayaakisi chochote chenye maana kwa Taifa.Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na kukubaliana nawe 100%. Hiyo video imenidhihirishia kuwa wewe pasina shaka ni muumini mzuri wa Biblia na mafundisho ya Masihi Yesu.
Sasa katika video yako uliyoirusha hivi majuzi kuhusu wanamtandao, umesema kwamba Mungu akiwavusha, mtaweka sheria ya kuwafunga viongozi wakuu wastaafu wenye makosa. Mimi si mjuzi sana wa Biblia lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba usipowasamehe waliokukosea hautasamehewa. Kwenye video hiyo ulisema unatoa msamaha kwa mambo mengine, lakini mambo ya kisiasa hapana kusameheana.
Kwa unyenyekevu mkubwa swali langu ndio hili: Hiyo kauli umeitoa wapi kwenye Biblia? Ni wapi Yesu alisema msamaha hautolewi kwa watu waliokosea kisiasa?
Natanguliza shukrani kwa majibu mema, na yenye lengo la kunisaidia niijue Biblia kama wewe. Asante, mkuu.
Sijui kama nimekupata. If so, kwanini Slowslow huwa anaongea ya rohoni anapozungumzia siasa ambazo ni anasa za mwilini? Kwenye hotuba zake anamtaja sana Mungu na pia huwa ananukuu vifungu vya rohoni. Hapo vipiYa rohoni siyo ya mwilini ndugu
Siasa ni anasa za mwilini
Ahsante sana 🙏
Hukuona walivyoliua msalabani?Really? Kwani lile jizi msalabani lilipata nafasi ya kuwaomba msamaha liliowakosea na kurudisha mali zao? Mbona lilipewa tu msamaha?
Huu unaoufanya si ndo uchawa wenyewe au wewe huoni?Mkuu, na uzee wote huu niwe chawa? Ili nini.
Hata Mzee Makamba alikuwa anatumia sana maandiko kwenye Siasa kuwaelewesha wale wenye mioyo muhimu inayoshindwa kupokea ya rohoni na kuyapeleka mwiliniSijui kama nimekupata. If so, kwanini Slowslow huwa anaongea ya rohoni anapozungumzia siasa ambazo ni anasa za mwilini? Kwenye hotuba zake anamtaja sana Mungu na pia huwa ananukuu vifungu vya rohoni. Hapo vipi
BInadamu anatakiwa kuwa na hofu ya mungu ili aweze kutekeleza sheria za serikali ipasavyo😃Sasa kama Mheshimiwa anajua kuwa sheria za nchi haziendeshwi na Biblia, kwanini huwa ananukuu vifungu vya Biblia kwenye video zake za kisiasa? Hapo vipi, mkuu
Wtakao ingia motoni wapo(according to them not me). Ni wale ambao hawajatubu mbele za Mungu( kama kweli yupo)Yes. Na kama dhambi zote zinasamehewa, hakuna atakayeingia motoni!
Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na kukubaliana nawe 100%. Hiyo video imenidhihirishia kuwa wewe pasina shaka ni muumini mzuri wa Biblia na mafundisho ya Masihi Yesu.
Sasa katika video yako uliyoirusha hivi majuzi kuhusu wanamtandao, umesema kwamba Mungu akiwavusha, mtaweka sheria ya kuwafunga viongozi wakuu wastaafu wenye makosa. Mimi si mjuzi sana wa Biblia lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba usipowasamehe waliokukosea hautasamehewa. Kwenye video hiyo ulisema unatoa msamaha kwa mambo mengine, lakini mambo ya kisiasa hapana kusameheana.
Kwa unyenyekevu mkubwa swali langu ndio hili: Hiyo kauli umeitoa wapi kwenye Biblia? Ni wapi Yesu alisema msamaha hautolewi kwa watu waliokosea kisiasa?
Natanguliza shukrani kwa majibu mema, na yenye lengo la kunisaidia niijue Biblia kama wewe. Asante, mkuu.
Wewe ukifanya ngono nzembe halafu ukayakanyaga mawaya, ila ukaomba masamaha, itaondoa malipo ya dhambi yako?Mheshimiwa Polepole, kuna clip nimeiona mahali, ulikuwa unafundisha kwa makini sana masuala ya imani ya kikristo. Ulifundisha kwa weledi mkubwa kiasi kwamba waliokuwa wanakusikiliza walikuelewa na kukubaliana nawe 100%. Hiyo video imenidhihirishia kuwa wewe pasina shaka ni muumini mzuri wa Biblia na mafundisho ya Masihi Yesu.
Sasa katika video yako uliyoirusha hivi majuzi kuhusu wanamtandao, umesema kwamba Mungu akiwavusha, mtaweka sheria ya kuwafunga viongozi wakuu wastaafu wenye makosa. Mimi si mjuzi sana wa Biblia lakini nakumbuka kuna mahali imeandikwa kwamba usipowasamehe waliokukosea hautasamehewa. Kwenye video hiyo ulisema unatoa msamaha kwa mambo mengine, lakini mambo ya kisiasa hapana kusameheana.
Kwa unyenyekevu mkubwa swali langu ndio hili: Hiyo kauli umeitoa wapi kwenye Biblia? Ni wapi Yesu alisema msamaha hautolewi kwa watu waliokosea kisiasa?
Natanguliza shukrani kwa majibu mema, na yenye lengo la kunisaidia niijue Biblia kama wewe. Asante, mkuu.
Mkuu kama na wewe ni fisadi itakula kwako muda utakapofika. Tazama muda na saa umekaribia!wapi Yesu alisema msamaha hautolewi kwa watu waliokosea kisiasa?
Hapo mkuu ingawa mimi siijui sana Biblia, nadhani tafsiri yako ya hicho kifungu sio sahihi. Unataka kusema kwamba wanaotajwa ktk kifungu hicho kwamba hawatasamehewa kwa sababu wamemkufuru Roho Mtakatifu, ni viongozi wastaafu? Kama ndiyo, elezea wamemkufuruje?Yesu alisema dhambi zote zitasamehewa lakini dhambi ya kukufuru roho mtakatifu haitasamehewa kamwe!!
Naweza kusema Kuna dhambi unaweza kusamehe kabisa lakini vilevile Kuna dhambi unaweza usisamehe.
Mathayo 12:31–32
"Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kukufuru watasamehewa wanadamu; ila kufuru ya Roho haitasamehewa."
Bushoke aliwahi kuimba huko mbinguni hutaulizwa ulikuwa nani duniani.Hapo mkuu ingawa mimi siijui sana Biblia, nadhani tafsiri yako ya hicho kifungu sio sahihi. Unataka kusema kwamba wanaotajwa ktk kifungu hicho kwamba hawatasamehewa kwa sababu wamemkufuru Roho Mtakatifu, ni viongozi wastaafu? Kama ndiyo, elezea wamemkufuruje?
Aisee, kumbe Polepole ana ID nyingi humu. Mimi nilikuwa natarajia kupata majibu yake mwenyewe "live" kwa sauti. Asante, napokea hayo majibu ingawa sijapewa vifungu!