Polepole: CCM kitakuwa chama cha maskini na wanyonge - Bashe: Umaskini sio sifa

Polepole: CCM kitakuwa chama cha maskini na wanyonge - Bashe: Umaskini sio sifa

Kina Lowasa walijiunga wakiwa hawana chochote na utajiri wameupatia CCM, sasa CCM wanafanyaje wawe masikini.. Jaribu kumuelewa Polepole... Tunajua siku zote masikini hana sauti, ni mnyonge sasa CCM inataka awo watu wakimbilie CCM, ili kupaza sauti
Hujui historia ya lowasa wewe, hakwenda ccm akiwa maskini kama usemavyo, uliza vizuri
 
Je, kuna kiongozi yeyote ndani ya Chama ngazi ya Taifa, Mkoa na Wilaya ambaye ni maskini?
 
Ukitaka kumtawala binadamu kirahisi mfanye awe masikini ili akutukuze daima, hilo ndilo ccm wanafanya. Na ndiyo maana hawapendi vyama vya ushirika hata kidogo
 
Kina Lowasa walijiunga wakiwa hawana chochote na utajiri wameupatia CCM, sasa CCM wanafanyaje wawe masikini.. Jaribu kumuelewa Polepole... Tunajua siku zote masikini hana sauti, ni mnyonge sasa CCM inataka awo watu wakimbilie CCM, ili kupaza sauti
Kumbe mmoja wa hao wawili ni Lowassa eeh? Atakuwa kabadirika sana aura siku hizi!
 
Akili yako imeishia hapo, kina Lowasa walijiunga wakiwa hawana chochote na utajiri wameupatia CCM, sasa CCM wanafanyaje wawe masikini.. Jaribu kumuelewa Polepole... Tunajua siku zote masikini hana sauti, ni mnyonge sasa CCM inataka awo watu wakimbilie CCM, ili kupaza sauti
Neno maskini halimaanishi Wananchi wa kawaida.
Viongozi hawapaswi kushabikia kulitumia neno Maskini.
Tunapaswa kuona AIBU kulitamka hasa kwa Viongozi.
Umaskini ni zaidi ya mahitaji ya Kisiasa.
 
Kumbe watanzania wanatakiwa kuwa Masikini na wanyonge ili Ccm iwafae?
 
Bashe umenena mkubwa Viongozi wetu ndio waliotufikisha hapa kiumaskini Leo wanajifanya hawalali wanatupigania kutuondolea umaskini waliotupa inachekesha?
 
Bashe anajielewa sana huyu jamaa
hanaga mambo ya kusifia upuuzi akisimama kuongea lazima nimsikilize laiti ccm wote mpaka magufuli wangekuwa kama bashe tusingehitaji upinzani tungewasuport wao lakini kwa sasa tunahitaji upinzani kwa nguvu zote kwa jinsi ccm ilivyo
 
Lowassa amekuwa waziri kwa kipindi cha miaka hamsini au miaka miwili tu Kutoa maji ziwa Victoria hadi kahama kuanziaha sekondari za kata huko no kipiga dili ? Jenga hoja acha kuweweseka
 
Kina Lowasa walijiunga wakiwa hawana chochote na utajiri wameupatia CCM, sasa CCM wanafanyaje wawe masikini.. Jaribu kumuelewa Polepole... Tunajua siku zote masikini hana sauti, ni mnyonge sasa CCM inataka awo watu wakimbilie CCM, ili kupaza sauti


Lowasa kakugongea mama ako nini?
Alikuwa maskini?Unajua ukoo wao wewe?
Unajua biashara zake wewe?
Unafkiri ni mswahili wa kukaa vikao vya kahawa?
Mwenzio anatafuta fursa?
Una roho ya kikwere wewe,na JPM kishawapa jibu,mlikuwa mnasubiriavKujengewa nyumba eeh,subirini sana.

Wakati mnakesha lumumba mwenzenu anatafuta uwekezaji.
 
Back
Top Bottom