Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Big up Bashe, dawa ya mjinga ni kumuelimisha.
Hahahahahahahhaah ni kweli akili ya kuchoma magazeti ya ukawaAkili kubwa zipo ukawa, pamoja na Wizi wa kura na uporaji wa ushindi bado ukawa walichukua 40% ya kura zote
Picha ya watoto wa rohingya wa Myanmar unatuletea humu. Umejifunza kukopi na kupesti kwenye kisimu chako ndo unatupia humu...tangu lini ccm ikasaidia wanyongeView attachment 453636
ccm imekuwa ni chaka la wezi na wapiga dili na kamwe haisaidii wanyonge inanyonga wanyonge
Sure, nimeona ni muwazi sana huyu jamaaBashe ni hazina.kichwa chake kinajua kusimamia msimamo.ukinambia wabunge wenye uwezo ni huyu jembe pia peter msigwa
una uhakika alikuwa hana chochote au ulikuwa unasema kule msoga!!Kina Lowasa walijiunga wakiwa hawana chochote na utajiri wameupatia CCM, sasa CCM wanafanyaje wawe masikini.. Jaribu kumuelewa Polepole... Tunajua siku zote masikini hana sauti, ni mnyonge sasa CCM inataka awo watu wakimbilie CCM, ili kupaza sauti
Na sio mara ya kuanza amesimama hata bungeni Na kuikosoa serikali ya chama chake .jamaa ni mwanasiasa asiyependa unafki .haogopi.angefaa Kwa HII serikali tatizo alikuwa ni dogo wa kampani iliyokuwa Ina unda mtandao wa lowassa.ni kama visasiSure, nimeona ni muwazi sana huyu jamaa
Mimi ningekuwa rais asingekosekana katika Baraza languSure, nimeona ni muwazi sana huyu jamaa
Dah yuko safi sana.Na sio mara ya kuanza amesimama hata bungeni Na kuikosoa serikali ya chama chake .jamaa ni mwanasiasa asiyependa unafki .haogopi.angefaa Kwa HII serikali tatizo alikuwa ni dogo wa kampani iliyokuwa Ina unda mtandao wa lowassa.ni kama visasi
Haogopi mtoto wa mtuNa sio mara ya kuanza amesimama hata bungeni Na kuikosoa serikali ya chama chake .jamaa ni mwanasiasa asiyependa unafki .haogopi.angefaa Kwa HII serikali tatizo alikuwa ni dogo wa kampani iliyokuwa Ina unda mtandao wa lowassa.ni kama visasi
Hata hoja ambayo haimuhusu lowasa tayari umemshambulia,inakumbusha wimbo wa hayati Dr Remmy alivyorudi kijijini ngedere akila mahindi anaambiwa yeye ,nguruwe akila anaambiwa yeye,na Fulani akiibiwa anaambiwa yeye .pole Mzee Lowasa endelea na uvumilivu wakoKina Lowasa walijiunga wakiwa hawana chochote na utajiri wameupatia CCM, sasa CCM wanafanyaje wawe masikini.. Jaribu kumuelewa Polepole... Tunajua siku zote masikini hana sauti, ni mnyonge sasa CCM inataka awo watu wakimbilie CCM, ili kupaza sauti
NAHISI 32-39Hivi Polepole ni Kijana, wa makamo au Mzee?