Polepole: CCM kitakuwa chama cha maskini na wanyonge - Bashe: Umaskini sio sifa

Polepole: CCM kitakuwa chama cha maskini na wanyonge - Bashe: Umaskini sio sifa

Hili jamaa kama jinga vile, Lowassa kaingiaje hapa? Nenda akuoe basi, bila kumtaja uwezi lala? Kweli wewe ni Lupyeeee, akili ndogo za kwendea chooni
Mdharau TU inatosha coz hata Mimi sijaona sababu ya kumtaja huyu mheshima .
 
Simwombei mabaya ila mfano H.Polepole akafariki ghafla leo,hivi kwenye mitandao ya kijamii ataandikwaje hasahasa ukizingatia alisema maneno flani hivi kwenye mchakato mzima wa kutafuta ajira na baada ya hapo hali ikaja ikawa tofauti kwa yeye kuonekana amesimama sehemu aliyotamani isiwe hivyo ilivyo?
 
Kama uongo wa mafisadi chadema kuleta mabadiliko kupitia fisadi Lowasa
Kama uongo wa JPM kuwachangisha wananchi fedha za kuwasaidia waathirika wa tetemeko Kagera, kumbe anataka fedha za kuipa CCM ili serikali ichukuwe shule na kujenga miundo mbinu yake!
 
kwahiyo baada ya kujikwamua na kuuacha umasikini anapoteza sifa ya kuwa mwanaCCM??

hakika masikini ndiyo mtaji wa CCM.
Na Chadema ni mtaji wa matajiri ndio mana tulimkata tajiri Lowasa tukamuweka masikini JPM na Chadema wakamkata masikini Dr Slaa wakamuweka tajiri Lowasa
 
Back
Top Bottom