Polepole apuuzwe kuhusu gesi

Polepole apuuzwe kuhusu gesi

Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Umepuuzwa wewe
 
Hata Serikali ya Tanzania oia inatoa ruzuku kwa makampuni y gesi ila wai ndio wanafaidika zaidi, hawapunguzi bei kwa wateja ambao ni watanzania.
Screenshot_20250830-111111.jpg
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
K.......yoyoyoyoyoyoyoyoyo
 
Ulio kuwa unaunganishwa kwa 27000 ni umeme wa REA tu ambao hasa ni mahususi kwa ajili ya vijijini na mpaka sasa ndo bei.

Na huo mradi wa REA ulibuniwa na kikwete na sio magufuri.
Samia alishaondoa hiyo 27000 alisema haiwezekani

Ni kama issue ya gas wakati kikwete akiingia mkataba alisema gas ikikamilika kila mtanzania atakuwa nayo kulingana na gharama nafuu lkn baada ya kukamilika ndio kwanza inapanda kila siku.
 
Taifa gas ni kampuni sidhani kama hata ina miaka mitano toka kuanzishwa kwake, zipo kampuni kongwe nyingi za gas za kupikia kama Oryx, Mihan, lake nk. na kwasasa zimeongezeka nyinginezo kama Puma nk.

Sijui kwanini inashambuliwa Taifa gas na siyo haya makampuni mengine ya gas maana wote soko lao ni moja na bei zao ni zilezile.
Na mbaya zaidi hawa wengine walikuwepo kabla ya Taifa gas.

Taifa gas wamepewa yard kubwa pale Mombasa kufungua plant na kuuza gas Kenya.
Sasa sijui nako RA anahisa huko na Raila au GOK?

Nimejaribu kuwaza tu kivingine.

safarini Hodeidah Yemen.
 
Bei za gesi ya kupikia (LPG) duniani zimeathiriwa na mambo kama vile ongezeko la gharama za uagizaji, mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa fedha, na changamoto za usambazaji, hasa tangu vita vya Ukraine na Russia vilivyoanza 2022. Hata katika nchi zinazotoa ruzuku, bei ya mtungi wa gesi ya kilo 20 kwa kawaida huwa juu zaidi ya TZS 2,000. Kwa mfano, katika nchi kama Mexico au Colombia, bei ya mtungi wa kilo 20 inaweza kuwa kati ya USD 15-25 (TZS 40,500–67,500 kwa kiwango cha ubadilishaji cha 1 USD = 2,700 TZS).
Cuba ina uchumi unaodhibitiwa na serikali, na gesi ya kupikia mara nyingi huuzwa kwa bei ya ruzuku kwa wananchi. Hata hivyo, hata kwa ruzuku, ni vigumu sana kwa bei ya mtungi wa kilo 20 kuwa chini hadi TZS 2,000, kwani hii ingekuwa chini ya gharama za uzalishaji na usambazaji wa gesi hata katika soko la kimataifa.

Cuba inaweza kutoa ruzuku kubwa kwa gesi ya kupikia ili kuifanya ipatikane kwa wananchi wa kipato cha chini, lakini bei ya TZS 2,000 (sawa na takriban USD 0.74 kwa kiwango cha 1 USD = 2,700 TZS) inaonekana kuwa ya chini kupita kiasi. Kwa kulinganisha, hata katika nchi zinazotoa ruzuku kama Algeria, bei za gesi za kupikia zimepanda kwa sababu ya changamoto za kiuchumi.

Makadirio ya kimataifa yanaonyesha kuwa bei hiyo inaweza kuwa kati ya USD 10–20 (TZS 27,000–54,000) hata kwa ruzuku. Bei ya TZS 2,000 ingemaanisha ruzuku ya karibu 95–98% ya gharama ya soko, ambayo ni nadra sana hata katika uchumi unaodhibitiwa na serikali kama Cuba.

Polepole anaweza kuwa ametoa taarifa hiyo kwa makosa, labda akimaanisha bei ya huduma nyingine au saizi tofauti ya mtungi (kwa mfano, mtungi wa kilo 1 au 2). Anaweza pia kuwa amerejelea bei ya ruzuku ya miaka iliyopita kabla ya ongezeko la bei za gesi duniani.

Kauli yake inaweza kuwa imetokana na data isiyo sahihi au iliyopitwa na wakati, au labda alikuwa akirejelea bei ya ruzuku ya miaka ya nyuma kabla ya ongezeko la bei za gesi duniani.

Kauli ya Humphrey Polepole kwamba bei ya mtungi wa gesi ya kilo 20 nchini Cuba ni TZS 2,000 ina uwezekano mkubwa wa kuwa sio sahihi kwa kuzingatia bei za soko la kimataifa na hata mifumo ya ruzuku. Bei ya TZS 2,000 ni ya chini kupita kiasi hata kwa nchi inayotoa ruzuku kubwa kama Cuba.
ChatGPT

Kuna mmoja anakujaga home kwangu anataka nimrecovie account zake za kufanyia huo upuuzi.. Yan iko hivi hizi propaganda zinaanziaga kwa wakuu wa wilaya, mikoa nk, wanatuma kwenye magroup yako then vijana kazi yao ni kuzisambaza kwenye social media platforms zote then wanascreenshot alafu wanawatumia wakubwa ndio wanapata hiyo buku saba, it's very sad yan. Kuna siku jamaa kafanya kazi waziri akasahau kumtumia ujira alafu alikuwa anapanda ndege anaenda zake dubai akamwambia jamaa amkimbizie kipawa na pikipiki ili akapewe posho yeye anawahi flight sasa jamaa alikuwa desperate pikipiki imekimbia ikaenda kupata accident kabla hajafika airport na posho hakupata maana tajiri alipanda ndege na kwenda zake.

Sijui kama tutpona aisee.
Mana ugonjwa wa ufisadi na uzandiki ukisha ambatana na watu vichwa maji sawa n wasomi wa nchi hii. Ni ngum sana kutubika hapo.
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Wewe ndio tunakupuuza.
 
Walamba nyayo za viongoz na machawa naona mnajitokeza mmoja baada ya mwingine 🤣🤣🤣!!! Pole2 kaishi Cuba mpingaji yupo huko nyanzenda shinyanga!!
 
Ulio kuwa unaunganishwa kwa 27000 ni umeme wa REA tu ambao hasa ni mahususi kwa ajili ya vijijini na mpaka sasa ndo bei.

Na huo mradi wa REA ulibuniwa na kikwete na sio magufuri.
Ulibuniwa au ni kwa misaada wa kampuni ya kimarekani
 
Polepole ni muongo, kinachosikitisha vijana wa Chadema kila utombo anaoropokwa Poleole wao wanajibebea tu
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Polepole anawadanganya Watanzania, Kwa lugha ya mitaani anawalisha matangopori. Ukweli kuhusu bei ya gesi Cuba huu hapa: What's Behind the Cooking Gas Shortage in Cuba? - Havana Times
 
Hii nchi imejaa mambulula
Ndio maana kuna manabii wengi sana wanakula helazao...
Unaweza kutokea na kuanza kutapika upupu halafu, mifyongo inaamini unachosema na kukufuata
Huyu kichwa pumbu polepole anapita mulemule...
Tuanze na exchange rate ya I cuba peso ni Tsh 104
Kwa hiyo peso 2000 ni Tsh 208,789.
View attachment 3458256

Tuje kwenye gesi ya kupikia...
Mtungi wa kupikia, una uzwa kwa bei ya chini kabisa ni 35,000 pesos kwa lita 40
Gawanya mara mbili kwa lita 20, ni 17250 pesos...
Kwa Tsh hizo lita 20, kwa Cuba ni sawa na Tsh 1,800,811.20....kubababakeee...
Huyo kichwa pumbu aliwawekea ushahidi wa hizo bei za gesi huko Kyuba...?

View attachment 3458264
Na ww kwel unastahili kulipwa? Huoni umechangia uharo wa juzi ,yaan ukijua unafuta ukicho andika !!
 
Ulio kuwa unaunganishwa kwa 27000 ni umeme wa REA tu ambao hasa ni mahususi kwa ajili ya vijijini na mpaka sasa ndo bei.

Na huo mradi wa REA ulibuniwa na kikwete na sio magufuri.
Nimeunganisha Umeme kwa elfu 27 na sio REA
 
Wakati vyawa wakitetea vyeo vyao ni kama hivi tunavyoona
 
Mama anapiga kampeni za nishati safi ya kupikia ambayo ni gesi ya mtungi...

Wauza gesi ni kina Rostam, Lake Oil, Oryx, Puma n.k...

Ile gesi ya asili watumiaji ni wa kuwahesabu...
 
Back
Top Bottom