New IDPolepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Basi wewe ni mjinga. Sisi tunashindwa Nini hayo? yaani amejitokeza kukwambia namna nchi za watu ziilivyofanikiwa kuleta unafuu wa maisha kwa kutumia vizuri rasilimali. Tanzania vitu vipo Juu kwasababu Kuna madalali wengi. Wewe unasema apuuzwe? Mjinga kabisa. Unapaswa tukuue wewe.Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Hizo ninAI zimetengenezwa US na Ulaya na Hata ukienda Wikipedia Wana manipulate taarifa hasa za mahasimu wao. Kupata ukweli lazima uwe na source za taarifa kutoka vyanzo vingi na ulinganishe. Lakini, msema bei ya elfu mbili alikuwa huko Cuba...! Na pia Kuna watu wetu huko. Kwa nini msiwaulize hao...mpaka mtumie AI? Binafsi napenda ukweli bila kujali umesemwa na nani. Kama HP katudanganya naye kwenye hili tutamshughulikia kama wengine waongo wanavyoshughulikiwa...!Nimejaribu kugoogle bei ya gesi Cuba majibu yamekuja hivi kama inavyoonekana hapa chini:-
View attachment 3458300
Mbona kwa sura hii huko Cuba gas ni ghali kuliko kwetu.
Unatapatapa tuPolepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Hiyo ndio dawa yao ili kutokuona upupu wanaokuja nao humu.Nikuzo pigs block tu
Umesoma uilchoandika? Cuba inaagiza Gas ila Tanzania inachimba yenyewe!Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Kwani Tanzania kwa mujibu wa CCM ni nchi ya kijamaa na kuhusu uhusiano tunao na wajomba wa Oman, Mfalme wa Dubai na DP World na uranium kwenda Iran ilipitia Bongo toka Congo hawa si jamaa zetu na wauza gesi?Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa

Ni kweli amesema ni tshs 2000 kwa change rate hiyo ya 104 huo mtungi utakuwa cuban peso kama 19 plus hongera zao sisi bei ya nishati haikamatiki yawe mafuta uwe umeme iwe gesi ni balaaWe ndo kilaza umeharibu kabisa amekwambia unauzwa 2000 Tanzania shilling na sio hela ya quba..mataqo yako wewe na mtoa Uzi wote vilaza
Mkuu AI si inakusanya tu taarifa kutoka sehemu mbalimbali, unless sasa tupewe taarifa kutoka incredible source ya Cuba kuwa gas ni 0. something $, nmetafuta hapa kwenye uzi sijaona.Hizo ninAI zimetengenezwa US na Ulaya na Hata ukienda Wikipedia Wana manipulate taarifa hasa za mahasimu wao. Kupata ukweli lazima uwe na source za taarifa kutoka vyanzo vingi na ulinganishe. Lakini, msema bei ya elfu mbili alikuwa huko Cuba...! Na pia Kuna watu wetu huko. Kwa nini msiwaulize hao...mpaka mtumie AI? Binafsi napenda ukweli bila kujali umesemwa na nani. Kama HP katudanganya naye kwenye hili tutamshughulikia kama wengine waongo wanavyoshughulikiwa...!
Kwani mkuu gas inayotumika kupikia ni LPG au gesi asilia kama hii ya mtwara?.Umesahau kuwa Tanzania tuna gas wakati Cuba hawana gas.....!!?
Wewe una akili za kenge maji.Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa