Polepole apuuzwe kuhusu gesi

Polepole apuuzwe kuhusu gesi

Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Wewe ni fala
Sasa unatetea waTz kununua huduma kwa bei ya kuua uchumi wao ?!

Kweli uchawa ni ugonjwa upigwe vita
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Point ya kwanza:
vipi Tanzania ni nchi ya kijamaa au Kijima?
jibu tuendelee na mjadala
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Gas tunazalisha wenyewe
Why tuuziwe bei ghali?
 
Kwa hiyo pamoja na nchi yetu kuwa mzalishaji wa gesi unaona bei tunayouziwa ni sawa?
Hizi kampeni za nishati safi zimewezesha vipi wananchi kununua gesi kwa bei rafiki au mnadhani ukigawa mtungi ndo umemaliza!!
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Eti na wewe babako anakaa mbele ya wenzake anajisifu kasomesha!
Inasikitisha sana
 
Sasa Wewe na Pole Pole tumuamini nani???

Hasta la Victoriaa Siempre!! Wahuni mmeanza kutoka mashimoni pole pole kawachomea ndani...Hii nchi siku moja mtatema mali zote
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Kuna watu mmejaza vinyesi kichwani.nyie ndo mnasababisha Africa isiendelee.
 
Kama una google ndio upqte taarifa umefeli
Nipo Japan, city gesi inayokuja ndani kama bomba la maji mimi familia ya watu wanne tunatumia kwa kila kitu mpk kupika maharage yani kiswahili hasa

Lakini mwisho wa mwezi nalipia si zaidi ya elfu 2 na mia tano Japan Yen

Hizo ni kama elfu 35 mpk 39 tzs

Lqkini uki google hapo sasa google atakuja na majibu ya bei ya kufa maana AI inategemea vyanzo okotezi mitandaoni kuja na Jibu moja

Alichosema polepole bioa shaka kaki experience akiwa Cubq kabisa
 
Tanzania ni socialist ideology , mpaka sahizi ulivyoandika uharo wako huo........

au twambie ni lini tumekuwa wabebari au uchumi mchanganyiko
yan yamesoma style ila hayajaelimika, i was wondering lini tumekuwa a capitalist country. Alafu hiyo sio ishue sana, ishue ni kwamba tunashindwa nini kufanya kama cuba kama tumeamua kutumia nishati masala ?....
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Ficha ujinga Wako Mbele ya WATU Ndugu Punguza Uchawa Wako Wewe
 
yan yamesoma style ila hayajaelimika, i was wondering lini tumekuwa a capitalist country. Alafu hiyo sio ishue sana, ishue ni kwamba tunashindwa nini kufanya kama cuba kama tumeamua kutumia nishati masala ?....
uko sahihi inawezekana kubeba madawa ya kulevya Toka Amerika ya kusini ,ngano Toka ulaya mashariki(Ukraine na urusi). .....lakini kukaa na Venezuela tutengeneze utaratibu mzuri kama wa Cuba inashindikana

tuseme sawa imeshindika ooowk .........mtwara Kwa dangote pale si rais mwanamtandao gase Ile aligawa Kwa dangote Bure tu
 
Mbona mzee unaandika uhalisho na hafu kama uelewi kwamba hapa Tanzania sisi wenyewe tunachimba gesi, Nyie ni miongini mwa mnaolipwa ela za Bure kabisa kumtetea mama, Kwa utetezi huu ningekuwa bosi wako ningekufuta kazi.

Mtu anakubar alipwe 7000 ili kushiriki katika kazi za kifisadi za kueneza habar za uongo.
And most of them hawakiowi wanatumia bundle Lao binafs.
 
uko sahihi inawezekana kubeba madawa ya kulevya Toka Amerika ya kusini ,ngano Toka ulaya mashariki(Ukraine na urusi). .....lakini kukaa na Venezuela tutengeneze utaratibu mzuri kama wa Cuba inashindikana

tuseme sawa imeshindika ooowk .........mtwara Kwa dangote pale si rais mwanamtandao gase Ile aligawa Kwa dangote Bure tu
Exactly, tumeamua kutumia nishati mbadala basi lets explore the best alternative of all, unless otherwise this country is being run by goons...
 
Mtu anakubar alipwe 7000 ili kushiriki katika kazi za kifisadi za kueneza habar za uongo.
And most of them hawakiowi wanatumia bundle Lao binafs.
Kuna mmoja anakujaga home kwangu anataka nimrecovie account zake za kufanyia huo upuuzi.. Yan iko hivi hizi propaganda zinaanziaga kwa wakuu wa wilaya, mikoa nk, wanatuma kwenye magroup yako then vijana kazi yao ni kuzisambaza kwenye social media platforms zote then wanascreenshot alafu wanawatumia wakubwa ndio wanapata hiyo buku saba, it's very sad yan. Kuna siku jamaa kafanya kazi waziri akasahau kumtumia ujira alafu alikuwa anapanda ndege anaenda zake dubai akamwambia jamaa amkimbizie kipawa na pikipiki ili akapewe posho yeye anawahi flight sasa jamaa alikuwa desperate pikipiki imekimbia ikaenda kupata accident kabla hajafika airport na posho hakupata maana tajiri alipanda ndege na kwenda zake.
 
Hakika utukufu wa Mungu utadumu milele na sisi binadam na viumbe hai tutaitwa hai tukiwa tunapumua. Uku kuishi yaani kuwa hai ni njia ya kuelekea kifo. Tujitaihid tutende mema kadri tuwezavyo maana hatuwezi kutenda mema yoote kwa upana wake.

# Jitasmini Upya
 
Back
Top Bottom