Hii nchi imejaa vichwa pumbu na mambulula
Ndio maana kuna manabii wengi sana wanakula helazao...
Unaweza kutokea na kuanza kutapika upupu halafu, mifyongo inaamini unachosema na kukufuata
Huyu kichwa pumbu polepole anapita mulemule...
Tuanze na exchange rate ya I cuba peso ni Tsh 104
Kwa hiyo peso 2000 ni Tsh 208,789.
View attachment 3458256
Tuje kwenye gesi ya kupikia...
Mtungi wa kupikia, una uzwa kwa bei ya chini kabisa ni 35,000 pesos kwa lita 40
Gawanya mara mbili kwa lita 20, ni 17250 pesos...
Kwa Tsh hizo lita 20, kwa Cuba ni sawa na
Tsh 1,800,811.20....kubababakeee...
Huyo kichwa pumbu aliwawekea ushahidi wa hizo bei za gesi huko Kyuba...?
View attachment 3458264