Polepole apuuzwe kuhusu gesi

Polepole apuuzwe kuhusu gesi

Bei za gesi ya kupikia (LPG) duniani zimeathiriwa na mambo kama vile ongezeko la gharama za uagizaji, mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa fedha, na changamoto za usambazaji, hasa tangu vita vya Ukraine na Russia vilivyoanza 2022. Hata katika nchi zinazotoa ruzuku, bei ya mtungi wa gesi ya kilo 20 kwa kawaida huwa juu zaidi ya TZS 2,000. Kwa mfano, katika nchi kama Mexico au Colombia, bei ya mtungi wa kilo 20 inaweza kuwa kati ya USD 15-25 (TZS 40,500–67,500 kwa kiwango cha ubadilishaji cha 1 USD = 2,700 TZS).
Cuba ina uchumi unaodhibitiwa na serikali, na gesi ya kupikia mara nyingi huuzwa kwa bei ya ruzuku kwa wananchi. Hata hivyo, hata kwa ruzuku, ni vigumu sana kwa bei ya mtungi wa kilo 20 kuwa chini hadi TZS 2,000, kwani hii ingekuwa chini ya gharama za uzalishaji na usambazaji wa gesi hata katika soko la kimataifa.

Cuba inaweza kutoa ruzuku kubwa kwa gesi ya kupikia ili kuifanya ipatikane kwa wananchi wa kipato cha chini, lakini bei ya TZS 2,000 (sawa na takriban USD 0.74 kwa kiwango cha 1 USD = 2,700 TZS) inaonekana kuwa ya chini kupita kiasi. Kwa kulinganisha, hata katika nchi zinazotoa ruzuku kama Algeria, bei za gesi za kupikia zimepanda kwa sababu ya changamoto za kiuchumi.

Makadirio ya kimataifa yanaonyesha kuwa bei hiyo inaweza kuwa kati ya USD 10–20 (TZS 27,000–54,000) hata kwa ruzuku. Bei ya TZS 2,000 ingemaanisha ruzuku ya karibu 95–98% ya gharama ya soko, ambayo ni nadra sana hata katika uchumi unaodhibitiwa na serikali kama Cuba.

Polepole anaweza kuwa ametoa taarifa hiyo kwa makosa, labda akimaanisha bei ya huduma nyingine au saizi tofauti ya mtungi (kwa mfano, mtungi wa kilo 1 au 2). Anaweza pia kuwa amerejelea bei ya ruzuku ya miaka iliyopita kabla ya ongezeko la bei za gesi duniani.

Kauli yake inaweza kuwa imetokana na data isiyo sahihi au iliyopitwa na wakati, au labda alikuwa akirejelea bei ya ruzuku ya miaka ya nyuma kabla ya ongezeko la bei za gesi duniani.

Kauli ya Humphrey Polepole kwamba bei ya mtungi wa gesi ya kilo 20 nchini Cuba ni TZS 2,000 ina uwezekano mkubwa wa kuwa sio sahihi kwa kuzingatia bei za soko la kimataifa na hata mifumo ya ruzuku. Bei ya TZS 2,000 ni ya chini kupita kiasi hata kwa nchi inayotoa ruzuku kubwa kama Cuba.
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea

Kama mzee wako angetumia kondomu angekuwa ameisaidia sana Tanzania. Au hata siku hiyo angecheza pool na si kusababisha ije zaliwa hii takataka
 
Tz ni taifa la kibepari ujamaa uko midomoni mwa wana siasa tu kwa ajili ya kuteka akili za watu wapumbavu.
Hata nchi za Scandinavia kama vile Sweden ni nchi za kipebari ila kuleta ahueni kwa raia zime-incorporate sera za kijamaa kwenye ubepari huo (strong socio-economic policies)
 
SHILINGI ELFU MBILI HATA BODABODA KUUBEBA HUO MTUNGI WA GESI KUULETA KWANGU, KILOMETA MOJA KUTOKA KWA MUUZAJI, HAITOSHI!
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
kwa mantiki hii si bora tuwe wajamaa sasa
 
Wewe ni Mpumbavu sana. Mimi ni Mwana ccm na ccm ni chama cha kijamaa.

Sasa jiuliza ile itikadi ya kijamaa imeenda wapi?

Ccm ilianza kuharibuwa na Mzee Mwinyi pale ndipo magenge ya Wahuni yalipoanza kujitengeneza.

Chama kimetekwa na Mabwanyenye Ambaya ndio yana tunga sera za kibepari na kunyonya Watanzania.

Sisi wakati wa ccm ya ujamaa tulisoma bure kila kitu tulikua tunapatiwa bure na serikali sare madaftari mpa usafiri bure.

Tulitibiwa bure kabisa na wakati Uo hakukua na vyanzo vingi vya mapato Wala TRA inayokusanya matrilion ya pesa kama sasa lakini haya wasaidii Watanzania Bali uwafanya viongozi kuishi kama wapo peponi huku wananchi wakidanganywa na pesa za Tasafu ni Ujinga wa Hali ya juu.

Mimi naamini katika sera ya ccm ya mwalimu Nyerere ya Ujamaa sio ccm hii ya mabepari.
 
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi
Tanzania ni lini umejitangaza kuachana na ujamaa?
Kinyume na hapo CCM ni Chama kinachodanganya umma na hakifai kuaminiwa hata kidogo
 
Mbona mzee unaandika uhalisho na hafu kama uelewi kwamba hapa Tanzania sisi wenyewe tunachimba gesi, Nyie ni miongini mwa mnaolipwa ela za Bure kabisa kumtetea mama, Kwa utetezi huu ningekuwa bosi wako ningekufuta kazi.
Unadhani atatoa utetezi upi mwingine ili amfurahishe Boss wake?. Hapa ndio kajipinda kweli kweli
 
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
Soma katiba yetu ya nchi Sura ya Pili ibara ya Tisa kuhusu muongozo wa siasa zetu za nchi juu ya Ujamaa na Kujitegemea. Nakuwekea na link ya katiba. Sisi ni wajamaa kwa nini hatuuziwi gesi sh. 2000/-
----
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Wewe ni sehemu ya watu wanaopenda waTZ waendelee kuwa maskini, hizi hoja zako zinasisitoza kwanini mtungi wa gesibTZ bei iwe juu na isishuke.
 
Hivi mleta una habari kuwa serikali inatoa ruzuku ya pesa ndefu kwa wamiliki na waigizaji wa gesi hapa Tanzania?

Kwa kifupi kabisa, mitungi wa gesi ilipaswa kugawiwa bureee, gesi uuziwe tena kwa bei ndogo sana.
 
Cuba ina uchumi unaodhibitiwa na serikali, na gesi ya kupikia mara nyingi huuzwa kwa bei ya ruzuku kwa wananchi. Hata hivyo, hata kwa ruzuku, ni vigumu sana kwa bei ya mtungi wa kilo 20 kuwa chini hadi TZS 2,000, kwani hii ingekuwa chini ya gharama za uzalishaji na usambazaji wa gesi hata katika soko la kimataifa.
Tupe bei halisi Sasa ya gesi huko Cuba ni shilingi ngapi?
 
Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:

1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.

2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.

3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Natamani nikukande makofi yakuamshe bongomende lako wewe....nyie ndo mnatufanya hata muumba asijue na kutujibu our problem
 
Back
Top Bottom