Polepole anafahamu mengi ndani ya CCM tumsikilize kwa makini

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,276
Reaction score
23,568
Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole.

Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii.

Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
 
Mbona hajasema uchaguzi wa 2020 nani aliuchakachua? Au walishinda kwa kishindo? Hapa kuna kitu mnatapeliwa
 
Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole.

Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii.

Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
Nafasi anayo tele atuambie sasa watekaji ni akina nani.. Wanatumwa na nani mfadhili mkuu ni nani na waliopotea wako wapi
 
Ndio mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote tunackiliza kwa umakini mkubwa MNO.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Tuliopoteza ndugu zetu kwa kutekwa..na hatujui waliko tupo makini sana kumfuatilia polepole anaweza akatufungua macho kidogo tukapata mwanga
 
Mwanzoni nilikuwa nazarau ila kadri anavyoendelea kuongea naanza kuona jamaa kapania
 
Agusie mazingira ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli na upatikanaji wa awamu ya sita kama havina uhusiano na wahuni.

Huu ndio muda mzuri wa kufunguka na kuweka hadharani yote yaliyo sirini.
 
Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole.

Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii.

Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
Uzuri wa Balozi Pole Pole hana mgongano wa maslahi wala utajiri binafsi useme watapata pa-kumbania.
Lowassa alijaribu wananchi wakampa ushindi lakini aliamua kunyamaza. Sumaye vile vile!
Mabadiliko ya kweli yataletwa na anayewafahamu vizuri ccm!
Ni suala la muda tu!
 
Agusie mazingira ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli na upatikanaji wa awamu ya sita kama havina uhusiano na wahuni.

Huu ndio muda mzuri wa kufunguka na kuweka hadharani yote yaliyo sirini.
mbona halishasema sana
 
Back
Top Bottom