Pamoja na sifa zote hizo JKN ndiye muaasisi wa mfumo huu mbaya wa kulinda waovu. Enzi zake alikuwa anahamisha mtu from here to there badala ya kumwadhibu. Akajiwekea ulinzi wa kimfumo na ndiyo uliozaa hii state capture.Mimi ni chawa wa mwalimu Nyerere. CCM baada ya Nyerere ni hovyo na hakuna hata kiongozi mmoja anayenivutia. Japo wanatofautiana na Kikwete ndiye mbovu kupindukia.
Wanaomjuwa magu vizuri ni wale wauza masofa leaders kuleWabongo wengi ni kama walianza kumjua Magu akiwa Rais...
Lakini ka utakuwa ulimfuatilia tangu akiwa waziri, jamaa alikuwa mwamba sana...
Kuminya siasa mbadala na CCM hii ndio kasoro pekee katika uongozi wake iliyoweka doa jeusi...
Makonda kakodi coaster sita za kampeni na bado kuna pesa kawalipa wajumbe wakampitisha jina. Dogo ana pesa nyingi.Nikiona mtu anakuja na ngonjera za kumsifia katili magufuli namuona kama mpuuzi tu, kipindi cha magufuli watu wameiba pesa za umma. Kina makondo, sabaya ni mabillionear kupitia magufuli, magufuli amaea watu kwa maslah yake binafs.
Too late!...Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
Mkuu we hupendi kusifiwa 😄Mkuu, heshima sana. Uko sahihi. Kwangu mimi nasema Magufuli alikuwa anajua chanzo cha matatizo yetu, lakini hakuwa na uelewa wa namna ya kuyaondoa. Alikuwa anatumia nguvu kuliko akili. Na pia alikuwa anapenda kuabudiwa na mtu ukimsifia kidogo tu japo kwa unafiki, anakuamini na kukusogeza karibu. Na tatizo lake kubwa ni kudhani CCM ikibaki peke yake basi ataweza kui-control Tanzania kwa urahisi. Kwa kifupi hakuwa anataka challenge ya aina yoyote. Huwezi kuwa rais mwenye maono halafu ukalazimisha watu kama kina Kibajaji ndiyo wawe wabunge. Hata kumwacha Samia awe makamu kwenye uchaguzi wa 2020 lilikuwa ni kosa kubwa.
Kuna jamaa mmoja aliachiwa urithi wa kiwanja maeneo ya Oysterbay, baada ya baba yake kufariki, akawa analalamika kwanini baba yake hakujenga nyumba! Yaani hakushukuru kuwa amechiwa raslimali yenye thamani na ni jukumu lake kuiendeleza. Na wanaomlaumu Nyerere kwa sababu ya mfumo wako hivyo. Hivi miaka yote tumeshindwa kurekebisha na tunabaki kutaka kufanyiwa kila kitu? Yeye alitupa usia mzuri sana... hii katiba akija rais mbaya atawaangamiza...Pamoja na sifa zote hizo JKN ndiye muaasisi wa mfumo huu mbaya wa kulinda waovu. Enzi zake alikuwa anahamisha mtu from here to there badala ya kumwadhibu. Akajiwekea ulinzi wa kimfumo na ndiyo uliozaa hii state capture.
Tofauti yake ni kuwa alikuwa na dhamira njema and so kwakua aliona waovu watam eliminate akajiwekea huo mfumo wa kulinda akitakacho. Shida yangu kubwa kwake, kwanini wakati ana ng'atuka aliruhusu huo mfumo kuendelea na hata baada ya kuona what happened in 1995?
Na alitengeneza pesa kipindi cha maguMakonda kakodi coaster sita za kampeni na bado kuna pesa kawalipa wajumbe wakampitisha jina. Dogo ana pesa nyingi.
It is never too late...His blood will cry vengeance...Tunamshukuru Kwa kupitia damu yake kama sadaka na maisha yake kama funzo kwetu sote ametimiza purpose yake ya creation na kama Imani yake is not in vain he is now celebrating what he did huko aliko, Hana majuto...Swali ni kwetu sisi je tunasimama kwenye zamu zetu?Too late!...
Mlichangia kumfrastrate,hakupata sapoti popote,Wanamtandao wanampiga,Wanaharakati wanampiga.akabaki peke yake,akazidiwa nguvu 💔😭
Sasa hao si walikuwa wanaishi maisha ya kupewa tuKuna jamaa mmoja aliachiwa urithi wa kiwanja maeneo ya Oysterbay, baada ya baba yake kufariki, akawa analalamika kwanini baba yake hakujenga nyumba! Yaani hakushukuru kuwa amechiwa raslimali yenye thamani na ni jukumu lake kuiendeleza. Na wanaomlaumu Nyerere kwa sababu ya mfumo wako hivyo. Hivi miaka yote tumeshindwa kurekebisha na tunabaki kutaka kufanyiwa kila kitu? Yeye alitupa usia mzuri sana... hii katiba akija rais mbaya atawaangamiza...
Tusaidie kwenye Hilo Ili kum challenge JPM, utakuwa umetukomboa wengi ambao hatujui tuanzie wapi na tuishie wapiKuna jamaa mmoja aliachiwa urithi wa kiwanja maeneo ya Oysterbay, baada ya baba yake kufariki, akawa analalamika kwanini baba yake hakujenga nyumba! Yaani hakushukuru kuwa amechiwa raslimali yenye thamani na ni jukumu lake kuiendeleza. Na wanaomlaumu Nyerere kwa sababu ya mfumo wako hivyo. Hivi miaka yote tumeshindwa kurekebisha na tunabaki kutaka kufanyiwa kila kitu? Yeye alitupa usia mzuri sana... hii katiba akija rais mbaya atawaangamiza...
Aliwapa samaki lakini hakuwafundisha kuvuaSasa hao si walikuwa wanaishi maisha ya kupewa tu
Mzee akitoka watoto wanaanza kulialia
Ova
MFUMONa alitengeneza pesa kipindi cha magu
Nchi hii kila utawala ukingia kuna wanaoumia na wanaolia 😄
Ova
Mkuu, tafadhali pitia pale kwa Manka, agizia peps ya bariidi ushushie, jioni nitapita nilipeLawama kubwa zinaenda Kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama...Wanalinda waovu zaidi ya kulinda watu wema, walio na maamuzi wengi wanakuwa corrupted na wanaobaki wanakuwa hawana namna ya kufanya
Kabisa,kila mfumo ukingia kuna watu huwa wanachekeleaMFUMO
Magufuli alichukia uchaguzi tangu ashindwe uchaguzi wa Ubunge na Phares Kabuye jimbo la Biharamulo wa TLP, tangu kipindi hiko na ukija kuchanganya na Momentum of Lowasa ndio kabisa hakutaka tena kusikia uchaguzi.Ukanda siyo kweli.... Hizi ni propaganda tu. Ila la kukataa kukosolewa ndiyo linaloleta ukakasi. Jee ilikuwa ni tabia yake ya asili au ni matokeo ya taarifa alizokuwa anapewa?
Mimi nakuunga mkono pwent yako japo wkt ule nyinyi Chadema mlikuwa mnamwita Nyampala wa kazi.!!!Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
Lisu ndio alimjuwa vizuri JPM na kumuita Dikteta uchwara.Tusaidie kwenye Hilo Ili kum challenge JPM, utakuwa umetukomboa wengi ambao hatujui tuanzie wapi na tuishie wapi