Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Tumeagizwa tupeane baada ya ndoa.yaani hapo unakuwa utatoa na kupewa na mumeo, ila sababu unampa mtu asiye mumeo.unakuwa unagawa maana unatoa bure.unampa yeyote asiye na guarrantee.unagawa aisee.
Unaweza gawa kwangu, kwa issa,kwa john.....................
Mbona anayeomba akagaiwa mnamficha nyuma ya pazia. tabia ya kuomba omba muacheeee.