mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Kwani babu mimi ulinioa ukiwa na kazi???? si ulikuwa na kishamba tu, watu hawajui upendo huwa unaota popote.
Wanadhani siye tupo after money tu.
Ndo maana nakupenda..!! Watu hawajui kweli upendo unaota popote na kukua popote kama ulivyonikuta na kishamba..!! Watu hawatikiwi kuwakariri wanawake kwa mitazamo yao binafsi.!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums