Poleni wasichana kwa mtihani huu

Poleni wasichana kwa mtihani huu

Riziki anatoa Mungu, mimi naamini kama kitu c riziki yako hataufanye nn, itakaa kushoto tu. Madada please omba mwenyezi Mungu hakika atakupa kitu bora, zaidi basi turidhike tamaa hizi zitatumaliza jamani. hawa madume wamevaa feki ID usoni hawasomeki.

wakati mwanamke anawaza 1 mwanaume ameshawaza 2. hatari sana.
 
Women are wasting assets. They Fall value as their partners' income appreciate. Najua mtafoka eeh.!
 
Back
Top Bottom