Poleni wasichana kwa mtihani huu

Poleni wasichana kwa mtihani huu

Kutumika kwa fujo ni kitendo cha mwanamke kugawa mbunye au papuchi wakati wowote ,mahali popote , kwa mtu yoyote bila ya kuwa na mkataba wowote........

mmmhhh...kumbe wapo wanawake wa style hiyo mkuu?
hivi hao nao ni wanawake au tuwaite jina gani...?
 
nawachukia wanaume wote ...especially you ...uloniacha na kichanga ukaenda kufunga ndoa...
masikini pole sana, yaani post yako hadi imeniuma, piga moyo konde Mungu atakuongoza wwe na mwanao
 
nawachukia wanaume wote ...especially you ...uloniacha na kichanga ukaenda kufunga ndoa...

Pole my. angalia mbele nyuma geuka kwa tahadhari tu.
 
Attachments

  • 1417695017063.jpg
    1417695017063.jpg
    6.7 KB · Views: 453
Kuna kitu kidogo you decent boys hamjui...kwamba mimi ni mtanashati sana,nina degree or nina kazi nzuri nani alikudanganya hizo ni SI unit za kupata mke? Wenzako ni wavuta bangi na washiriki wakubwa wa matendo ambayo unayaonea haya ila wameoa maofisa wa kike wa polisi na salauti zinaishia mlangoni ndani ni baby za kushiba! wee baki na kazi yako nzuri tu usaidie familia yenu!
weekend hii ntafute nikupe japo kinywaj unachopendelea pale ngurdoto...
 
Kutumika kwa fujo ni kitendo cha mwanamke kugawa mbunye au papuchi wakati wowote ,mahali popote , kwa mtu yoyote bila ya kuwa na mkataba wowote........

Hiyo lugha n mbayaaaa. unaposema kugawa kwani ni biscut ile kwamba kuna watu wamenyoosha mikono ili wagaiwe????? Wanaume watu wa ajabu sana, wakati wa kuomba hadi mnalia, mkipewa mbwembwe na matusi kibao. nicheke mie.
 
masikini pole sana, yaani post yako hadi imeniuma, piga moyo konde Mungu atakuongoza wwe na mwanao

amina asante sana nimeishapoa nmshukuru mungu mwanangu amekua sasahivi anamiaka minne ...
 
Women: "If you don't take risks you won't be married"this is your most difficult exam,while trying to escape"HIT & RUN tactics"just take risks as an entrepreneur,umdhanie ndiye kumbe siye, umdhanie siye kumbe ndiye.

Unayedhani lengo ni kupiga na kukimbia ndiye muoaji, unamkataa na kumkatalia. Unayedhani yuko serious anataka akuoe ndiye unamkubalia anapiga hafu anakimbia na kukuachia mimba.

Note: kwenye RED

Condom hazioni au? Why amuachie mimba...!!!.
 
Women: "If you don't take risks you won't be married"this is your most difficult exam,while trying to escape"HIT & RUN tactics"just take risks as an entrepreneur,umdhanie ndiye kumbe siye, umdhanie siye kumbe ndiye.

Unayedhani lengo ni kupiga na kukimbia ndiye muoaji, unamkataa na kumkatalia. Unayedhani yuko serious anataka akuoe ndiye unamkubalia anapiga hafu anakimbia na kukuachia mimba.

hahhah.. what you saying its true.. damn i f**n hate it, since been lied to, i`ve been pushing guys away hadi nimejishtukia coz naogopa danganyana... nshaona kila mwanaume ni hit n run while i dont even have the appetite to do the same... yaani now sijui tofautisha tapeli na mkweli... looh.. wish i was a man. :llama:
 
Yaani umeniskitisha, kwani mwanamke anaolewa na kazi yako???? mapenzi hayachagui ndugu yangu ila ungesema wanawake wanalaghaiwa na wanaume ambao hawana future ningekuelewa, ila habari ya kazi hapo hapana. mwanamke hafuati kazi kwenye ndoa, ingekuwa tunafuata kazi basi wengi wangeolewa na ATM ili awe anakuhesabia hata wewe. Ukiwa mwanaume na unaweza kujenga hoja na unajiamini huwezi kukosa mke bhana!

Ujumbe maridhawa huu..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mwalimu wetu co kipofu.
% kubwa ya mwanaume ni wadanganyifu anakuja kwa sura ya upole kumbe mbwa mwitu.

Ndicho anachomaanisha mleta mada..!! Soma vizuri na ufikiri utagundua ndio anachomaanisha huo mtihani maana huwezi mjua kwa muonekano wake.. Chochote kinaweza tokea

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
nawachukia wanaume wote ...especially you ...uloniacha na kichanga ukaenda kufunga ndoa...
Pole sana kitu kibaya zaidi ni unachofikiria sasa na kufanya generalisation..!! Sometime uhusiano kama kamari na ndo maana mtoa mada anawahurumia sana maana hamjui yupi mwema yupi mbaya

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kutumika kwa fujo ni kitendo cha mwanamke kugawa mbunye au papuchi wakati wowote ,mahali popote , kwa mtu yoyote bila ya kuwa na mkataba wowote........
Mkuu nakukubali sana, ntakupa kipindi kwenye shule yangu ya girls hapa town japo wapate mawaidha.
 
Pole sana kitu kibaya zaidi ni unachofikiria sasa na kufanya generalisation..!! Sometime uhusiano kama kamari na ndo maana mtoa mada anawahurumia sana maana hamjui yupi mwema yupi mbaya

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

asante sana ..niliumia sana mana alinitendea sana mambo ya ajabu.na mpaka sasa moyo wangu una majeraha..
 
ni kweli wanawake wako tabuni, hata wakijifanya jasiri basi pia wataishia kuchezewa.
kuolewa ni bahati
 
Back
Top Bottom