Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
3,933
Reaction score
2,805
Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope

Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya

Wakuu nasema hivi kwa sababu ya Hali ilivyo kwa Sasa chini ya utawala wa rais Suluhu kushambulia kwa kutumia nguvu kubwa mno yeyote anayeonyesha kuokosoa hata kistarabu

Utawala wa rais Samia ni kama umevurugwa unamng'ata Kila anayejaribu kuugusa kwa njia hasi uwe ndani au nje ya CCM

Hii inasababishwa na utawala usiojiamini na unajua mahusiano mabovu baina yake na wananchi inayowaongoza

Tuliyaona ya Ndugai na Sasa twayaona kwa Mpina na pia tunashuhudia mateso makubwa anayopitishiwa Mh Lissu yote haya yanawapata kwakuwa tu wamekataa uchawa na unafiqi wa kuilamba miguu serikali ya mama

Nitoe tahadhari kwa wale wapingaji ambao either wako ndani ya CCM ila wanapambana kimya kimya kuzidisha umakini maana Hali inapoelekea utawala huu ni kama umeshikwa na kichaa Cha mbwa

Either wale walioko nje ya CCM wanaharakati wabobevu kama kina Heche kaeni kiaskari na muwe tayari kwa lolote maana Hadi kufika October unaumizwa sana
 
Back
Top Bottom