Poleni na Kifo cha CCM, ila mimi sijalia

Poleni na Kifo cha CCM, ila mimi sijalia

Kwa chama kilichowekeza kwenye ufisadi, uuaji, utekaji, uvunjaji wa haki za binadamu na kuzalisha uchawa, mimi nilie hapana sitolia
 
Nalia na Watu 11,703 waugua kipindupindu, 145 wafariki dunia tangu Januari mpaka december mwaka jana. Tuliwasusa hata kwakuwapa elimu ya kutosha na huduma mzuri kama maji ya uhakika
 
Sijalia kabisa, nalia na familia zilizopoteza ndugu zao katika hizi harakati za kutetea uatawala wa mkoloni
 
Back
Top Bottom