Pole sana Dada

Pole sana Dada

shida ni nyie bana.mfano hai nilikuwa na dem tumekaa miaka 3 nikijua kabisa nitamuoa nikawa nafwatilia mawasiliano yake bila yeye kujua nikagundua analiwa na libaba limoja linafanya kaz ppf na hilo libaba ni rafik na kaka yake uyo demu.Nikamwacha uyo demu.Utasema mimi ndio namakosa?au mimi nimempotezea mda?
Kosa lako ni kudukua mawasiliano yake
 
atoto kui Honey Faith bila kujisahau mimi mwenyewe field Marshall. Poleni sana haha


Hahaha!, gaal, nimesoma huku nakauka mbavu..lol

Pole zetu sisi au yeye anayekosa usingizi kwa kufikiria vitu visivyomhusu? Masimango kama kaombwa hela ya lunch vile. 🙁
Anatulilia hapa hajaombwa hela, akiombwa si atazimia kabisa...Pole zake mbona!
Ngoja atoto aje 😀
 
Ufukaraaa wa wanaume,
Ushoga wa wanaume,
afya mbovu ya wanaume,
Uzinzi wa wanaume,
Uathirika wa HIV Kwa wanaume,
Rate ya wafungwa wengi jela ni wanaume.


Wanawake wanazidi kuongezeka daily why mungu hayuko fair? hv dada zangu hapa hom wataolewa kweli au ndo ushakuwa mzigo wangu kuwahudumia bwana ebu niangalie kwa jicho la tatu!
duh pole sn mkuu hakika nature has never bin fair
 
Ulinichekeshaga wewe, ulimwambia baba yako ukome unatembeaga huangalii chini
Acha tu usinikumbushe.
Mdogo wangu alikuwa ananikera kwa kufanya vitu rough rough hivyo nilivyosikia puu! nikajua tu ni yeye kumbe si yeye aliyeanguka.
 
Akina Lara one hwa wanawapumbazi mabinti humu eti mwanaume sio kitu, wachuneni tu, bila mabinti kuelewa akina lara one wamepitia mangapi na wana umri gani maskini.
 
Wengi matokeo yake huanza kuweka picha au avatar nzuri nzuri kwenye mitandao ya kijamii na kujiita majina mazuri mazuri kama switie, mi mtamu etc angalau watongozwe.
Pole yenu.
 
Sometimes sio sisi wanaume ndo tunamakosa....maana tunapanga kweli kumuoa mwanamke na unakuta ni kweli tunapenda kutoka moyoni, sasa sijui ni pepo gani linalowakumba wadada zetu ambapo mwisho wa siku wanaonekana katika hali ya kutoeleweka, hapo ndo mwanaume anafikia hali ya kumpotezea iwe ni kwa muda au moja kwa moja.
Hiyo ni kweli. Unakuta ndio tuko wanaume wenye nia na mapenzi ya kweli. Lakin dada zetu ndio hao... hawaeleweki. mnakuwa mmepanga malengo.. gafla anakubadilikia..
Unaamua tu kuakaa pembeni..
 
Huu ujumbe ni mzito sana sana sana. Najua wale sugu watakuja kubisha... lakin wale wachache wenye hekima... watakuwa wameelewa.
Baadhi ya Wadada wa miaka hii.. pls punguzeni viburi.. ujeuri.. dharau uvivu.. hata kama ni mzuri.. hata kama una pesa.. mjiheshimu ndipo Mungu atawapa mume wa kuwapenda na kuwaheshimu. Otherwise mtachezewa na wanaume viruka njia.... kwa muda mrefu.

Kwa wanaume... kama binti ameji commit kwako pls usimchezee na kumuacha. Kama una mipango nae.. mtreat vizuri.. mpende. Lakin kama hauna.. ni bora usimguse labisa.. kuliko kuuchezea uke wake then kukimbia ukimuacha na majonzi .
 
atoto kui Honey Faith bila kujisahau mimi mwenyewe field Marshall. Poleni sana haha
Hahahaaaa!!! Khaah! Hiki kichambo balaa!!
Pole dada kui na Heaven Sent
Hahaha!, gaal, nimesoma huku nakauka mbavu..lol

Pole zetu sisi au yeye anayekosa usingizi kwa kufikiria vitu visivyomhusu? Masimango kama kaombwa hela ya lunch vile. 🙁
Anatulilia hapa hajaombwa hela, akiombwa si atazimia kabisa...Pole zake mbona!
Ngoja atoto aje 😀
 
Hiyo ni kweli. Unakuta ndio tuko wanaume wenye nia na mapenzi ya kweli. Lakin dada zetu ndio hao... hawaeleweki. mnakuwa mmepanga malengo.. gafla anakubadilikia..
Unaamua tu kuakaa pembeni..
Kuna muda hupaswi kulalamika sana jambo baya linapokutokea, its for yo own good. Maybe ungeng'ang'ana lingekupata zito zaidi.

Alafu hivi hakuna wanaume wanaowabadilikia wanawake? Au unapata relief ukiwajaza lawama wanawake?

You cant be good for every one but for the one who deserves you.
 
Back
Top Bottom